Dondoo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating interwiki links, now provided by Wikidata on d:q2345033
d Sahihisho moja la tahajia tu.
Mstari 20:
''[[Raphicerus sharpei|R. sharpei]]'' <small>([[Oldfield Thomas|Thomas]], 1897)</small>
}}
'''Dondoo''', '''dondoro''' au '''isha''' ni [[mnyama|wanyamapori]] wadogo wa [[jenasi]] ''[[Raphicerus]]'' katika [[familia (biolojia)|familia]] [[Bovidae]] wenye [[sikio|masikio]] makubwa. Wana rangi ya mchanga inayoelekea nyekundu na mara nyingi madoa au milima nyeupe. Madume wana [[pembe]] fupi na laini. Wanatokea [[Afrika ya Kusini]] na ya [[Afrika ya Mashariki|Mashariki]] katika maeneo mbalimbali kutoka ukandoukanda wa [[jangwa]] mpaka [[kilima|vilima]] vyenye [[msitu]] wazi. Wanyama hawa hula [[jani|majani]], [[tawi|vitawi]], [[mzizi|mizizi]] na [[kiazi|viazi]].
 
==Spishi==