Dondoo : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d Sahihisho moja la tahajia tu. |
d Fanya kawaida orodha ya ngazi za chini, na ongeza koma. |
||
Mstari 16:
| jenasi = ''[[Raphicerus]]'' (Dondoo)
| bingwa_wa_jenasi = [[Charles Hamilton Smith|Hamilton Smith]], 1827
| subdivision = Spishi 3:
:''[[Raphicerus
:''[[Raphicerus
:''[[Raphicerus sharpei|R. sharpei]]'' <small>[[Oldfield Thomas|Thomas]], 1897</small>
}}
Kutoka Wikipedia, ensaiklopidia huru
'''Dondoo''', '''dondoro''' au '''isha''' ni [[mnyama|wanyamapori]] wadogo wa [[jenasi]] ''[[Raphicerus]]'' katika [[familia (biolojia)|familia]] [[Bovidae]] wenye [[sikio|masikio]] makubwa. Wana rangi ya mchanga inayoelekea nyekundu na mara nyingi madoa au milima nyeupe. Madume wana [[pembe]] fupi na laini. Wanatokea [[Afrika ya Kusini]] na ya [[Afrika ya Mashariki|Mashariki]] katika maeneo mbalimbali kutoka ukanda wa [[jangwa]] mpaka [[kilima|vilima]] vyenye [[msitu]] wazi. Wanyama hawa hula [[jani|majani]], [[tawi|vitawi]], [[mzizi|mizizi]] na [[kiazi|viazi]].
==Spishi==
* ''Raphicerus campestris'', [[Dondoo-nyika]] au Isha ([[w:Steenbok|Steenbok]])
* ''Raphicerus melanotis'', [[Dondoo Kusi]] ([[w:Cape Grysbok|Cape Grysbok]])
* ''Raphicerus sharpei'', [[Dondoo wa Sharpe]] ([[w:Sharpe's Grysbok|Sharpe's Grysbok]])
==Picha==
|