Maji kujaa na kupwa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 69 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q23384 (translate me)
link bamvua
Mstari 17:
Mabadiliko yanasabishwa na nguvu ya [[graviti]] ya [[mwezi]] na [[jua]] inayovuta [[dunia]] yetu. Sehemu ya dunia iliyo tazama mwezi ni karibu zaidi kwake na inaathiriwa zaidi na nguvu ya graviti. Maji ya bahari ni gimba moja kubwa la kiowevu na hivyo sehemu yake iliyoathiriwa zaidi inavutwa kuelekea mwezini. Ilhali mwezi unazunguka dunia katika muda wa takriban siku moja (halihalisi kidogo zaidi ya siku moja ya hesabu yetu) kuna kilele cha maji yanayovutwa kuelekea mwezini. Mzunguko wa mwezi ni masaa 24 na dakika 50 kwa hiyo saa ya maji kupaa na kupwa hubadilika hizi dakika 50 kila siku.
 
Kuna athira nyingine zinazovuta uso wa maji ya bahari pia; hii ni hasa [[kani nje]] kutokana na mzunguko wa dunia kwenye mhimili wake na graviti ya jua. Kila mwezi wakati jua iko nyuma ya mwezi kwenye mstari nyoofu nguvu za graviti hizi mbili zinaungana na kusababisha [[bamvua]] inayomaanisha maji kujaa sana yaani uso wa maji wa bahari hupanda juu zaidi kuliko kawaida.
 
Kimsingi mabadiliko ya graviti ya mwezi huathiri kila kitu duniani na pia magimba madogo kama mto, bwawa na maji katika bakuli. Lakini kama gimba la maji ni dogo tofauti hazionekani ingawa zinapimika kwa mitambo.