Bamvua : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d +kiungo
sahihisho, nyongeza, picha
Mstari 1:
[[Picha:Bamvua.png|300px|thumbnail|Wakati wa Mwezi mwandamu na Mwezi mwepevu jua, mwezi na dunia ziko kwenye mstari mmoja na hapo nguvu za graviti zinaungana na kusababisha bamvua duniani.]]
{{fupi}}
'''Bamvua''' inahusu [[maji kujaa na kupwa|kujaa na kupwa kwa maji ya bahari]], hasa kujaa kukubwa. Mara nyingi neno hili hutumika na watu wa pwani na wavuvi. Kwa kawaida bamvua hutokea mara tatumbili kwa mwezi,. yaani mwanzoni, katikati na mwishoni mwa mwezi wa Mwandamo.
 
Bamvua inasababishwa na graviti ya jua na mwezi wakati dunia yetu, mwezi na jua ziko kwenye mstari nyoofu. Hii inaonekana kutokana na hali ya mwezi kuwa ama [[mwezi mwandamu]] au [[mwezi mpevu]] na karibu na siku hizi bamvua inatokea.
 
Kutegemeana na tabia za pwani mara nyingi bamvua haionekani sana yaani maji hujaa sentimita chache juu ya uwiano wa kawaida. Lakini kwenye mlango wa bahari kwa mfano kati ya kisiwa na bara, katika hori nyembamba au katika mdomo wa mto tofauti inaweza kuongezeka hasa ikiungana na upepo mkali wa kuelekea bara.
 
{{mbegu-jio}}