Bamvua : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
sahihisho, nyongeza, picha
sahihisho, nyongeza, picha
Mstari 1:
[[Picha:Bamvua.png|300px|thumbnail|Wakati wa Mwezi mwandamu na Mwezi mwepevumpevu jua, mwezi na dunia ziko kwenye mstari mmoja na hapo nguvu za graviti zinaungana na kusababisha bamvua duniani.]]
'''Bamvua''' inahusu [[maji kujaa na kupwa|kujaa na kupwa kwa maji ya bahari]], hasa kujaa kukubwa. Mara nyingi neno hili hutumika na watu wa pwani na wavuvi. Kwa kawaida bamvua hutokea mara mbili kwa mwezi.