Tofauti kati ya marekesbisho "Tandu-shamba"

2 bytes added ,  miaka 7 iliyopita
d
no edit summary
(Nyongeza kigezo jaribio)
dNo edit summary
 
* [[Scolopendrellidae]]
}}
'''Tandu-shamba''' ni aina za [[arithropodi]] wadogo katika [[ngeli]] [[Symphyla]] ya [[nusufaila]] [[Myriapoda]]. Hata kama wanafanana na [[tandu]] wa kawaida, inaonekana kwamba wana mnasaba zaidi na [[jongoo|majongoo]] lakini uchanganuzi wa ADN umetoa matokeo yanayopingana. Hawa ni [[mnyama|wanyama]] wadogo wenye mm 2-30. Mwili wao ni mwororo na unapenyeka kwa nuru. Hawana [[jicho|macho]] na hutumia [[kipapasikipapasio|vipapasivipapasio]] ili kusikia njia. Huonekana katika udongo mpaka kina cha sm 50. Hula dutu ya [[kiumbehai|viumbehai]] lakini spishi kadhaa zinaweza kuharibu [[mmea|mimea]] ya [[shamba]]ni.
 
==Picha==
11,500

edits