Buibui-kofia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa mpya
 
dNo edit summary
Mstari 16:
* ''[[Ricinoides]]''
}}
'''Buibui-kofia''' ni [[arithropodi]] wa [[familia (biolojia)|familia]] [[Ricinoididae]], familia ya pekee ya [[oda]] [[Ricinulei]] katika [[ngeli]] [[Arakinida|Arachnida]]. Jina lao linatoka kwa aina ya “kofia” ambayo wanaweza kutumia ili kufunika [[kichwa]], [[mdomo]] na [[kelisera]] ([[w:chelicerae|chelicerae]]). Kwa kawaida buibui-kofia wana urefu wa mm 5-10 na wanafanana na [[utitiri]]. Wataalamu wengine wanafikiri kwamba [[mdudu|wadudu]] hawa wana mnasaba na utitiri, lakini wengine wanafikiri kwamba wana mnasaba na oda ya zamani ya [[Trigonotarbida]] iliyokwisha sasa. [[Kefalotoraksi]] ([[w:cephalothorax|cephalothorax]]) na [[fumbatio]] zimeungwa kwa [[pediseli]] ([[w:pedicel|pedicel]]) nyembamba kwa umbo wa mrija kama kwa [[Buibui (Arithropodi)|buibui]]. Lakini ukingo wa fumbatio unaingia katika kunjo la [[gamba]] ([[w:carapace|carapace]]). Wana [[mguu|miguu]] minane kama arakinida wengine lakini jozi ya pili ni mirefu kuliko mingine na hutumika kama [[kipapasikipapasio|vipapasivipapasio]]. Hawana [[jicho|macho]] lakini spishi za zamani zilikuwa nayo na spishi za kisasa bado zina sehemu za kuhisi nuru. Mwenendo wa buibui-kofia haujulikani sana lakini inaonekana kwamba hula arithropodi wadogo kuliko hawa wenyewe.
 
{{Pendekezo-jina-mnyama}}