Content deleted Content added
Jibu
Mstari 14:
 
:::Salamu Muddyb - asante kwa maneno yako ya kukaribisha! Lakini, kwani mimi ni mwanafunzi wa Kiswahili tu, naona umenipa fumbo zuri - maana ya "buu-baa". Naomba unitaalamishe! :) '''[[Mtumiaji:Rberetta|Rberetta]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Rberetta#top|majadiliano]])''' 15:06, 30 Oktoba 2014 (UTC)
 
::::Salaam. Pole kwa kimya kingi. Haya, buu-baa = hit and run! Yaani, hivi umekuja mara-moja tu kutuvuruga kisha mbio. Kumbe, nia yako ni tofauti kabisaa. Uniwie radhi kwa dhana potofu + ukimya wangu. Wako kijana mtiifu, Muddyb au,--[[User:Muddyb Blast Producer|<font color="blue"><sub>'''Mwanaharakati'''</sub></font>]]</span><font face="Verdana">[[User talk:Muddyb Blast Producer|<font color="gray"><sup>'''Longa'''</sup></font>]] 11:16, 4 Novemba 2014 (UTC)