Barafuto : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q35666 (translate me)
No edit summary
Mstari 11:
[[Afrika]] ina barafuto ndogo kadhaa juu ya [[mlima Kilimanjaro]] na [[mlima Kenya]] lakini zinaelekea kupotea kutokana na uhaba wa mvua itakayobadilika kuwa theluji mpya.
[[Picha:Aletschgletscher Panorama.jpg|thumb|500px|Barafuto ya Aletsch, [[Uswisi]] yenye umbo la mto wa barafu]]
 
Zamani za [[enzi ya barafu]] kiwango cha barafu kwenye ncha ya kaskazini kilikuwa kikubwa kiasi cha kusababisha barafuto kutokea zilizosukuma barafu hadi Ulaya ya Kati.
 
{{mbegu-jio}}