Morisi : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
|||
Mstari 19:
|areami²= 787<!-- Do not remove per [[WP:MOSNUM]] -->
|percent_water =0.05
|population_estimate =1,
|population_estimate_rank = ya
|population_estimate_year =Julai
|population_census = 1,259,838
|population_census_year = 12013
|population_density =
|population_densitymi² = 1,564<!-- Do not remove per [[WP:MOSNUM]] -->
|population_density_rank =ya
|Ethnic_groups =
|Ethnic_groups_year =
Mstari 54:
[[Picha:Mauritius-CIA WFB Map.png|thumb|150px|left|Ramani ya kisiwa cha Morisi]]
'''Morisi'''
Nchi ilipata [[uhuru]] tarehe [[12 Machi]] [[1968]], ikawa jamhuri tarehe hiyohiyo mwaka [[1992]]. Eneo la [[jamhuri]] ni pamoja na [[kisiwa]] cha Morisi yenyewe, kisiwa cha [[Rodrigues (kisiwa)|Rodrigues]], visiwa Hivi vyote ni sehemu ya [[funguvisiwa]] ya [[Maskarena]] pamoja na kisiwa cha [[Mji mkuu]] wa jamhuri ni [[Port Louis]]. == Eneo la Jamhuri ya Morisi ==
Visiwa vya jamhuri vimesambaa katika [[eneo]] pana sana:
Kisiwa kikuu cha '''Morisi''' ni 1,865km² au 91 % za [[ardhi]] yote ya jamhuri. Karibu
Kisiwa cha '''Rodrigues''' kipo 560 km mashariki
[[Picha:Makarena.PNG|thumb|left|300px|Visiwa vya Makarena kati ya visiwa vya Kiafrika katika Bahari Hindi]]
Visiwa vya '''Cargados Carajos''' (
'''Agalega''' ni visiwa viwili, yaani Kisiwa cha Kaskazini na Kisiwa cha Kusini, takriban 1,122 Km kaskazini
== Wakazi ==
Watu wa Morisi ni [[mchanganyiko]] mkubwa kutokana na [[historia]] ya visiwa hivi.
Baada ya Waarabu na Wareno kuvumbua Morisi, wakazi wa kwanza ([[1638]]) walikuwa [[Waholanzi]], lakini hawakuacha [[dalili]] isipokuwa majina ya mahali kwa sababu waliacha visiwa na kuondoka mwaka [[1710]] baada ya kushindwa ki[[uchumi]].
Wafaransa walitawala visiwa kati ya 1715 hadi 1810. Walianzisha miji na mashamba ya miwa. Nje ya walowezi Wafaransa walipeka pia watumwa kutoka Afrika. Mwaka 1767 walikuwepo Wafaransa 3,163 pamoja na watumwa Waafrika 15,000 pia Wahindi 587. ▼
▲[[Wafaransa]] walitawala visiwa kati ya [[1715]] hadi [[1810]]. Walianzisha miji na
[[Uingereza]] ulichukua utawala wa visiwa mwaka 1810 katika vita dhidi ya [[Napoleon Bonaparte|Napoleon]]. Tangu siku zile Kiingereza kilikuwa lugha rasmi ya serikali lakini wakazi waliendelea kutumia lahaja ya [[Kifaransa]]. Baada ya kuwapatia watumwa uhuru Waingereza walileta Wahindi wengi baadaye pia Wachina kama wafanyakazi kwenye mashamba ya sukari. Leo hii idadi kubwa ya wakazi ni wa asili ya Kihindi. ▼
▲[[Uingereza]] ulichukua [[utawala]] wa visiwa mwaka 1810 katika [[vita]] dhidi ya [[Napoleon Bonaparte|Napoleon]]. Tangu siku zile [[Kiingereza]] kilikuwa [[lugha rasmi]] ya [[serikali]], lakini wakazi waliendelea kutumia [[lahaja]]
Lakini 80% ya wananchi hutumia aina ya [[Kifaransa]] kama lugha ya kwanza (pamoja na [[krioli]] ya [[Kimorisyen]]. Asilimia 15 hutumia lugha za Kihindi kama vile [[Kiurdu]], [[Kitamil]] au [[Kibhojpuri]], wengine Kichina na [[Kiingereza]]. ▼
Baada ya kuwapatia watumwa [[uhuru]], Waingereza walileta Wahindi wengi, baadaye pia [[Wachina]] kama [[wafanyakazi]] kwenye mashamba ya [[sukari]]. Leo hii idadi kubwa ya wakazi ni wa asili ya Kihindi.
Karibu nusu ya wakazi hufuata dini ya Uhindu, 35% Ukristo (hasa Wakatoliki), 12% ni Waislamu Wasunni, 3% Washia, 1% Wabuddha.▼
▲Lakini 80% ya wananchi hutumia aina ya [[Kifaransa]] kama [[lugha ya kwanza]] (pamoja na [[krioli]] ya [[Kimorisyen]]. [[Asilimia]] 15 hutumia lugha za Kihindi kama vile [[
▲Karibu nusu (48.5%) ya wakazi hufuata [[dini]] ya [[Uhindu]],
== Uchumi ==
Hadi leo [[kilimo]] cha miwa (sukari) ni
Nchi iliendelea na serikali zilizochaguliwa bila kupinduliwa == Tazama pia ==
* [[Utalii nchini Morisi]]
{{mbegu-jio-Afrika}}
|