Saint Helena : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 2 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q34497 (translate me)
No edit summary
Mstari 16:
| Eneo (pamoja na visiwa vya pembeni)|| 414 [[km²]]
|----
| Idadi ya Wakazi || 74604255 (JulaiFebruari 20052008)
|----
| Wakazi/[[km²]] || 1835
|----
| [[Pesa]] || [[Pauni ya St. Helena]]
Mstari 31:
|}
[[Picha:St Helena-Pos.png|thumb|200px|left|Mahali pa St. Helena mbele ya Afrika)]]
'''Saint Helena''' (Kiingereza: Mtakatifu Helena) ni [[kisiwa]] mbele ya [[Afrika]] ya Magharibi katika [[Atlantiki]] ya kusini chenye eneo la 122 [[km²]].

Umbali na [[Angola]] ni 1.868 [[km]], ni 3.290 km hadi [[Brazil]] (Amerika ya Kusini).

Kisiwa chenye asili ya [[volkeno|kivolkeno]] kimo ndani ya beseni ya Angola ya bahari Atlantiki, hivyo huhesabiwa kuwa kisiwa cha Afrika. Ni

Kiutawala ni [[eneo la ng'ambo la Uingereza]] na makao makuu ya kundi la visiwa vidogo pamoja na kisiwa cha [[Ascension]] na [[funguvisiwa]] ya [[Tristan da Cunha]].
 
== Historia ya Wakazi ==
Wakazi 7.4604,244 (Julai 2005[[2008]]) ni wa asili ya Kiulaya, Kiafrika na Kichina. Wote wana [[uraia]] wa Uingereza wakitumia ligha[[lugha]] ya [[Kiingereza]].
Kihistoria Saint Helena haikuwahi kuwa na wakazi kabla ya kufika kwa Wareno mwaka 1502 [[BK]]: ndio waliojenga [[nyumba]] za kwanza bila kuacha wakazi wa kudumu. Katika miaka iliyofuata palikuwa na mavutano kati ya Wareno, Waholanzi na Waingereza.
 
Katika miaka iliyofuata palikuwa na mvutano kati ya Wareno, [[Waholanzi]] na Waingereza.
Tangu 1673 [[Kampuni ya Kiingereza ya India ya Mashariki]] ilitawala kisiwa kama kituo cha safari za [[merikebu ya matanga]] kubwa kati ya Uningereza, [[Afrika ya Kusini]] na [[India]]. Kampuni ilianzisha mji wa Jamestown na mashamba makubwa ya mboga kwa ajili ya mabaharia waliopita. Kwa ajili ya watumwa Waafrika walipelekwa Saint Helena, baada ya mwisho wa utumwa katika karne ya 19 pia wafanyakazi Wachina.
 
Tangu [[1673]] [[Kampuni ya Kiingereza ya India ya Mashariki]] ilitawala kisiwa kama kituo cha safari za [[merikebu ya matanga]] kubwa kati ya UningerezaUingereza, [[Afrika ya Kusini]] na [[India]]. Kampuni ilianzisha mji wa Jamestown na mashambama[[shamba]] makubwa ya [[mboga]] kwa ajili ya mabahariama[[baharia]] waliopita. Kwa ajili yahiyo [[watumwa]] Waafrika walipelekwa Saint Helena,; baada ya mwisho wa utumwa katika [[karne ya 19]] pia wafanyakazi [[Wachina]].
 
[[Picha:16 Napoleons exole St Helena June1970.jpg|thumb|200px|left|Longwood House, St Helena: nyumba alimoishi Napoleon wakati wa kufungwa kisiwani]]
== Napoleon ==
Jina la Saint Helena lilijulikana kote duniani kutokana na kuwa mahali pa kufungwa kwa [[Kaisari]] [[Napoleon I.]] wa [[Ufaransa]]. Napoleon alikuwa kiongozi aliyeogopwa sana na kutawala sehemu kubwa ya [[Ulaya]] kwa miaka kadhaa mwanzoni wa karne ya 19. Baada ya kushindwa mwaka 1814 alitakiwa kubaki kwenye kisiwa cha [[Elba]] (Italia) alipotoroka tena na kuanza vita upya. Baada ya kushindwa mara ya pili huko [[Waterloo]] Waingereza walimpeleka mahali pa mbali iwezekanavyo ndipo St. Helena mwaka 1815. Hapo aliishi katika hali ya kufungwa akiwa na nyumba yake na watumishi wake lakini alipaswa kuongozana kisiwani na maafisa Waingereza waliomfuata kila alikoenda. Kwa ujumla Waingereza walipeleka St. Helena wanajeshi 2,000 pamoja na mabaharia wa kijeshi 500 ili wamlinde Napoleon wakiogopa majaribio ya Wafaransa kumwondoa na kumrudisha katika hali ya uhuru.
 
Baada ya kushindwa mwaka [[1814]] alitakiwa kubaki kwenye kisiwa cha [[Elba]] (Italia), lakini alitoroka na kuanza [[vita]] upya.
Napoleon alikufa mwaka 1821 akazikwa kisiwani lakini mwili wake ulihamishwa baadaye kwenda Ufaransa alikopewa kaburi la heshimi Paris mjini. Ufaransa ilinunua baadaye nyumba alimoishi kutoka Uingereza ni mahali pa kumbukumbu pa kitaifa pa Ufaransa hadi leo.
 
Baada ya kushindwa mara ya pili huko [[Waterloo]], Waingereza walimpeleka mahali pa mbali iwezekanavyo, St. Helena, mwaka [[1815]]. Hapo aliishi katika hali ya kufungwa akiwa na nyumba yake na watumishi wake, lakini alipaswa kuongozana kisiwani na ma[[afisa]] Waingereza waliomfuata kila alikoenda. Kwa ujumla Waingereza walipeleka St. Helena [[wanajeshi]] 2,000 pamoja na mabaharia wa kijeshi 500 ili wamlinde Napoleon wakiogopa ma[[jaribio]] ya Wafaransa kumwondoa na kumrudisha katika hali ya uhuru.
 
Napoleon alikufa mwaka [[1821]] akazikwa kisiwani, lakini [[mwili]] wake ulihamishwa baadaye kwenda Ufaransa alikopewa [[kaburi]] la heshimi[[heshima]] [[Paris]] mjini. Ufaransa ilinunua baadaye nyumba alimoishi kutoka Uingereza ni mahali pa kumbukumbu pa kitaifa pa Ufaransa hadi leo.
 
Ufaransa ilinunua baadaye nyumba alimoishi kutoka Uingereza kama mahali pa kumbukumbu pa kitaifa pa Ufaransa hadi leo.
 
== Hali ya St. Helena leo ==
Kisiwa kinafikiwa kwa meli tu, haina [[kiwanja cha ndege]] kubwakikubwa. Lakini hakuna meli za tanga tena zinazohitaji kusimama St. Helena na kuchukua maji pamoja na [[chakula]]. Hivyo hali ya [[uchumi]] ni duni.

Kuna uvuwi[[uvuvi]] kidogo na [[utalii]] unaotegemea [[kumbukumbu]] ya Napoleon. Kuna meli moja tu ya kuhudumia St. Helena na visiwa vingine: inafika taktibantakriban mara mbili kwa mwezi. Muda wa safari kati ya St. Helena na [[Namibia]] au [[Afrika Kusini]] ni siku 4 au 5.

Kwa ujumla kisiwa kinategemea misaada ya [[serikali]] ya Uingereza.
 
Mji mkuu ni [[Jamestown]], mwenyewenye wakazi 900.
{{Afrika}}