Barafuto : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Barafuto''' huitwa pia "mto wa [[barafu]]". Ni kanda kubwa la barafu iliyoanza kutambaa kutokana na uzito wake ikifuata [[uvutanograviti]] kwenye mtelemko. Kwa sababu hiyo barafuto zinapatikana hasa mlimani.
[[Picha:155 - Glacier Perito Moreno - Panorama de la partie nord - Janvier 2010.jpg|thumb|center|800px|Barafuto]]