Mbuzi-kaya : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d fixing dead links
d Fanya kawaida mabingwa wa uainishaji.
Mstari 13:
| familia_ya_juu =
| familia = [[Bovidae]] (Wanyama walio na mnasaba na [[ng'ombe]])
| bingwa_wa_familia = [[John Edward Gray|J. E. Gray]], 1821
| nusufamilia = [[Caprinae]] (Wanyama wanaofanana na [[mbuzi]])
| jenasi = ''[[Capra]]'' (Mbuzi)
| bingwa_wa_jenasi = [[Carolus Linnaeus|Linnaeus]], 1758
| spishi = ''[[C. aegagrus]]'' (Mbuzi-mwitu)
| bingwa_wa_spishi = [[Johann Christian Polycarp Erxleben|Erxleben]], 1777
| nususpishi = ''[[C. aegagrus hircus]]'' (Mbuzi-kaya)
| bingwa_wa_nususpishi = ([[Carolus Linnaeus|Linnaeus]], 1758)
}}
Kutoka Wikipedia, ensaiklopidia huru
 
[[Picha:Geitenmelk.jpg|thumb|left|200px|Mbuzi akikamuliwa [[maziwa]]]]
 
Line 27 ⟶ 30:
Mbuzi-kaya, kama alivyo n'gombe ni mnyama anayefugika. Hufugwa kwa ajili ya [[nyama]], [[maziwa]] na [[ngozi]] yake. Kwani nyama na maziwa ni [[chakula]], na ngozi kufanywa viatu, mishipi na mikoba pia.
 
Mbuzi-kaya hula majani, hucheuwahucheua na kutafuna tafuna chakula chake mara kadhaa ilhali kikizunguka kati ya vyumba mbalimbali vya tumbo na mdomo wake kabla ya kukimeza kabisa, kama vile afanyavyo ng'ombe.
 
Mara nyingi mbuzi-kaya hubeba mimba na kuzaa mapacha kadhaa.