Visiwa vya Kanari : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 116 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q5813 (translate me)
No edit summary
Mstari 15:

|Wakazi

- jumla (20032011)

- % za Hispania

- Msongamano wa watu

1.843.755 2,117,519

4,4%

247,58280 ab./km²

|Uwakilishi bungeni
Mstari 36:

[[Picha:Locator map of Canary.png|thumb|Visiwa vya Kanari na Hispania]]
'''Visiwa vya Kanari''' (kwa [[Kihispania]]: Islas Canarias) ni [[funguvisiwa]] ya [[Afrika ya Kaskazini]] katika [[bahari]] ya [[Atlantiki]]. Kisiasa ni [[jimbo la kujitawala la Hispania]]. Viko baharini 150 km upande wa [[magharibi]] yakwa [[Moroko]]. Umbali na Hispania ni masaa mawili kwa ndege.

Kisiasa ni [[jimbo la kujitawala la Hispania]].

== Utawala ==

Kisiasa visiwa hivyo ni kati ya maeneo ya kujitawala ndani ya [[ufalme wa Hispania]].

Visiwa vikubwa ni saba:

[[El Hierro]], [[La Gomera]], [[La Palma]] na [[Tenerife]] ambavyo nivinaunda [[mkoa]] wa [[Santa Cruz de Tenerife]],

halafu [[Gran Canaria]], [[Fuerteventura]] na [[Lanzarote]] ambavyo nivinaunda mkoa wa Las Palmas,

tena kuna visiwa vidogo sita vya Alegranza, Kisiwa cha Lobos, La Graciosa, Montaña Clara, Roque del Este na Roque del Oeste, vyote vya mkoa wa Las Palmas.

Miji mikuu ni [[Santa Cruz de Tenerife]] na [[Las Palmas de Gran Canaria]].

Makao ya mkuu wa [[serikali]] ya eneo huhamahama kati ya miji hiihiyo miwili kila baada ya miaka minne.

== Wakazi ==
Jumla ya wakazi kufuatana na [[sensa]] ya mwaka 2005 ni 1,968,280. Mkoa wa Las Palmas una wakazi 1.011.928 katika tarafa 33, mkoa wa Santa Cruz de Tenerife una watu 956.352 katika tarafa 52.

Miji mikubwa ni Las Palmas de Gran Canaria (wakazi 378.628), Santa Cruz de Tenerife (wakazi 221.567), San Cristóbal de la Laguna (wakazi 141.627), Telde (wakazi 96.547) na Arona (79.377).
[[Picha:Canarias-rotulado.png|thumb|450px|Ramani ya Visiwa vya Kanari]]
Idadi ya wakazi wa visiwa vikubwa ni kama ifuatayo:

* Tenerife - 906.854
Line 68 ⟶ 70:
* La Gomera - 21.746
* El Hierro - 10.477

Karibu wenyeji wote ni [[Wakristo]] wa [[Kanisa Katoliki]].

== Historia ==
Visiwa vya Kanari vilitembelewa zamani na wasafiri [[Wafinisia]], [[Wagiriki]] na [[Waroma]], baadaye na [[Waarabu]]. Katika [[Ulaya]] visiwa vilisahauliwa hadi mnamo mwaka [[1400]] hivi.
ViisiwaVisiwa vilikaliwa na wazalendo walioitwa [[Guancha]] na Wahispania walipofika Kanari. Hakuna uhakika kuhusu asili yao. Wataalamu wenginewengi hufikiri walikuwa [[Waberber]]. Wengine husema walikuwa wafungwa walioachiwa huru visiwani wakati wa [[Dola la Roma]].

Wakati wa kufika kwa Wahispania kuanzia mwaka 1400 walikuwa na [[utamaduni]] bila [[chuma]]; wanasemekana hawakujua usafiri wa bahari.

Wakati wa kufika kwa Wahispania kuanzia mwaka 1400 walikuwa na utamaduni bila chuma wanasemekana hawakujua usafiri wa bahari. Katika muda wa [[karne]] moja Wahispania walivamia visiwa na kukandamiza utamaduni wa wenyeji. [[Lugha]] yao imekwisha kabisa ingawa kuna bado majina ya mahali visiwani kutokana na lugha ya [[Kiguancha]].

Baada ya Wahispania kufika [[Amerika]], Las Palmas ilikuwa [[bandari]] muhimu ya safari za Atlantiki.

== Uchumi ==
Kutokana na [[uzuri]] wa nchi na [[hali ya hewa]] ambayo ni poa mwaka wote [[utalii]] imekuwaumekuwa [[nguzo]] ya [[uchumi]] wa visiwa vya Kanari pamoja na [[kilimo]] cha mazaoma[[zao]] ya sokoni[[biashara]] yanoyopelekwayanayopelekwa Ulaya, hasa [[ndizi]] na [[tumbaku]].

<gallery>
Picha:Echium Wildpretii at The Teide.jpg|[[Teide]], [[Tenerife]]
Picha:Watalii Fuerteventura.jpg|Watalii mwambanonimwambaoni Fuerteventura
</gallery>