Andorra : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Robot: af:Andorra is a featured article; cosmetic changes
No edit summary
Mstari 15:
| government_type = [[Bunge]] - [[Utemi wa pamoja]]
| leader_titles = [[Mtemi Mfaransa]]<br /> [[Mtemi Askofu]] <br />[[Rais wa Halmashauri]]
| leader_name1 = [[JacquesFrançois ChiracHollande]]<br /> [[Joan Enric Vives Sicília]] <br />[[Albert Pintat Santolària]]
| accessionEUdate =
| area = 468
Mstari 52:
}}
[[Picha:Andorramap.png|thumb|left|250px|Ramani ya Andorra]]
'''Utemi wa Andorra''' ([[Kikatalani]]: Principat d'Andorra, [[Kifaransa]]: Principauté d'Andorre) ni nchi ndogo katika [[Ulaya]] ya kusini magharibi. Iadi

Idadi ya wakazi ni 7085,000, ambao kati yao 2/3 si wananchi. Lugha rasmi ni [[Kikatalunya]]. 90.1% ya wakazi ni [[Wakatoliki]].

Katiba yake ni ya utemi lakini kuna watemi wawili, nao waliokowako nje ya nchi. Mmoja ni [[rais]] wa [[Ufaransa]] na mwingine ni [[askofu]] wa Urgell katika [[Hispania]].
 
Eneo la Andorra ni bonde katika [[milima ya Pirenei]] kati ya Hispania na Ufaransa. Mahali pake mlimani palisababisha imeendelea kama nchi ya pekee kwa sababu zamani hapakuwa na njia wala mawasiliano.
Siku hizi imekuwa nchi tajiri kutokana na [[utalii]].
 
Andorra ni nchi mwanachama ya [[Baraza la Ulaya]] lakini si ya [[Umoja wa Ulaya]]. Hivyo si sehemu ya eneo la kodi za pamoja la Ulaya. Hali hii inavuta watalii kwa sababu [[bidhaa]] nyingi zinapatikana bila [[kodi]] kwa [[bei]] nafuu kuliko Hispania au Ufaransa; [[kodi ya ongezeko la thamani]] (VAT) iko kwenye 4% pekee.
 
Andorra inatumia [[pesa]] ya [[Euro]] bila kushiriki katika mkataba wa Euro.
 
== Historia ==
Line 71 ⟶ 75:
Katika hali hii Andorra imefika katika [[karne ya 21]] ila tu mawasiliano ya kisasa yameondoa upweke na utalii umetajirisha nchi na wakazi wake.
 
[[14 Machi]] [[1993]] Andorra ilipata katiba iliyoifanya kuwa nchi huru ya kujitegemea kabisa. Nafasi ya watemi wa pamoja ni ya heshima tu na utawala ukoumo mkononimikononi mwa [[serikali]] inayochaguliwa na [[bunge]]. Tangu 1993 Andorra ni nchi mwanachama wa [[Umoja wa Mataifa]].
 
<gallery>
Image:AndorraLaVella.jpg|Mji mkuu ni Andorra la Vella
Image:Satellite image of Andorra in March.jpg|Picha kutoka chombo cha angani inaonyesha eneo la Andorra
Image:Pas de la case.jpg|Pas de la Casa nchini Andorra
Line 80 ⟶ 83:
</gallery>
 
==Tanbihi==
{{reflist}}
{{mbegu-jio-Ulaya}}
{{Ulaya}}