Bosnia na Herzegovina : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 199 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q225 (translate me)
No edit summary
Mstari 23:
|population_estimate_rank = ya 127<sup>3</sup>
|population_estimate_year = Julai 2006
|population_census = 43,377871,033643<sup>[http://www.fzs.ba/Dem/Popis/PopisiPopulE.htm]</sup>
|population_census_year = 19912014
|population_density = 76
|population_densitymi² = 197 <!--Do not remove per [[WP:MOSNUM]]-->
Mstari 54:
}}
 
'''Bosnia na Herzegovina''' (''Bosna i Hercegovina'' au Босна и Херцеговина ) ni nchi ya [[Ulaya]] kusini mashariki kwenye rasi ya [[Balkanirasi]]. Ilikuwa sehemu ya [[YugoslaviaBalkani]] hadi 1992. Eneo lake ni 51,129 [[km²]] linalokaliwa na wakazi milioni nne. Mara nyingi huitwa kwa kifupi "Bosnia" tu na watu wake "Wabosnia". MjiIlikuwa mkuusehemu niya [[SarayevoYugoslavia]] hadi mwaka [[1992]].
 
Eneo lake ni 51,129 [[km²]] linalokaliwa na wakazi karibu milioni nne.
Kati ya wakazi kuna vikundi vitatu vinavyotofautiana kiutamaduni na kidini: [[Wabosnia]] (48%), [[Waserbia]] (37%) na [[Wakroatia]] (13%). Wanadai ya kwamba lugha zao ni tofauti lakini hali halisi ni lugha ileile ya [[Kislavoni]]. Wakati wa Yugoslavia iliitwa "[[Kiserbokroatia]]". Tofauti ziko kwa sababu Wabosnia hutazamiwa kuwa Waislamu, Waserbia kuwa Wakristo Waothodoksi na Wakroatia kuwa Wakristo Wakatoliki.
 
Mji mkuu ni [[Sarayevo]].
Nchi ina vitengo viwili: [[Shirikisho la Bosnia na Herzegovina]] linalounganisha maeneo ya Waislamu na Wakatoliki na [[Republika Srpska]] au eneo la Waserbia Waorthodoksi.
 
Kati ya wakazi kuna vikundi vitatu vinavyotofautiana kiutamaduniki[[utamaduni]] na kidiniki[[dini]]: [[Wabosnia]] (48%), [[Waserbia]] (37.1%) na [[Wakroatia]] (1314.3%). Wanadai ya kwamba [[lugha]] zao ni tofauti, lakini hali halisi ni lugha ileile ya [[Kislavoni]]. Wakati wa Yugoslavia iliitwa "[[Kiserbokroatia]]". Tofauti ziko kwa sababu Wabosnia hutazamiwa kuwa [[Waislamu]], [[Waserbia]] kuwa Wakristo Waothodoksi[[Waorthodoksi]] na [[Wakroatia]] kuwa Wakristo [[Wakatoliki]].
 
Nchi ina vitengo viwili: [[Shirikisho la Bosnia na Herzegovina]] linalounganisha maeneo ya Waislamu na ya Wakatoliki na [[Republika Srpska]] au eneo la Waserbia Waorthodoksi.
[[Picha:Bk-map.png|thumbnail|left|300px|Ramani ya Bosnia na Herzegovina]]
== Historia ==
Bosnia ilitokea kama eneo la pekee wakati za enzi[[Karne za kati]] chini ya [[utawala]] wa [[Dola la Uturuki]].
 
Jina la Bosnia limetokana na [[mto Bosna]]. Jina la Herzegovina lilitokana na watemi wa kusini katika eneo la [[mji]] wa [[Mostar]] waliotumia [[cheo]] cha [[Kijerumani]] cha "Herzog" na eneo lalao lilitwaliliitwa "nchi ya Herzog" au "Herzegovina".
 
Utawala wa Kiislamu ulisababisha kugeuka kwa sehemu kubwa ya wakazi kuwa Waislamu walioendelea kutumia lugha yao ya Kislavoni.
 
Wakati wa kudhoofika kwa Dola la Uturuki katika [[karne ya 19]] utawala wa nchi ulifika mikononi mwa [[Austria-Hungaria]].
 
[[Vita kuu ya kwanza ya dunia]] ilisababishwa mjini Sarayevo kutokana na ma[[uaji]] ya [[mfalme mteule]] wa [[Austria]] na [[mke]] wake.
 
Kati ya [[1918]] na [[1992]] Bosnia na Herzegovina ilikuwa jimbo la [[Yugoslavia]].
Utawala wa Kiislamu ulisababisha kugeuka kwa sehemu kubwa ya wakazi kuwa Waislamu walioendlea kutumia lugha yao ya Kislavoni. Wakati wa kudhoofika kwa Dola la Uturuki katika karne ya 19 utawala wa nchi ulifika mkononi wa [[Austria-Hungaria]]. Vita kuu ya kwanza ya dunia ilisababishwa mjini Sarayevo kutokana na mauaji ya mfalme mteule wa Austria na mke wake.
 
KatiBaada ya 1918 na 1992 Bosnia na Herzegovina ilikuwa jimbo la [[Yugoslaviauhuru]]. Baada ya uhuru ilitokea [[vita]] kali kwa sababu sehemu ya Waserbia na waya Wakroatia walitaka kuunganisha nchi au sehemu zake na Serbia au Kroatia. Wakazi wengi walifukuzwa nyumbani kwao kufuatana na maeneo ambako wanamigambo wa Waserbia au Wakroatia walitawala kufukuzokufukuza waotewote wengine.
 
Jumuiya ya kimataifa iliingilia kati na kuwalazimisha washiriki kukubali [[amani]] katika [[mkataba wa Dayton wa 1995]]. [[Mamlaka]] kuu haikohaimo mkononomikononi wamwa [[serikali]] ya wenyeji lakinibali mkononimikononi mwa [[Kamishna Mkuu kwa Bosnia na Hercegovina]] anayeteuliwa na [[Umoja wa Mataifa]] na [[Umoja wa Ulaya]]. Ana mamlaka ya kubatilisha [[sheria]] zilizoamuliwa na [[bunge]], pia kuachisha mawaziri kazi.
 
== Viungo vya Nje ==