Udeni : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 22:
area_magnitude = 1 E10 |
percent_water = 1.6%<sup>1</sup> |
population_estimate = 5,
population_estimate_year =
population_estimate_rank = ya
population_census = 5,450,661 |
population_census_year = 2006 |
population_density =
population_densitymi² =
population_density_rank = ya 78<sup>3</sup> |
GDP_PPP_year = 2005 |
Mstari 54:
[[Picha:Da-map.png|left|thumb|330px|left|Ramani ya Denmark]]
'''Denmark''' (pia '''''Denmaki'''''
Denmark ina eneo la 43.000 km². Theluthi ya eneo hili ni kwenye visiwa 443 vya Denmark ambavyo 76 tu kati
[[Rasi]] ya [[Jutland]] ni sehemu kubwa ya eneo. Jutland ni Denmark bara. Ina urefu wa 300 km kuelekea kaskazini kutoka [[mpaka]] wa Ujerumani hadi [[ncha]] yake kwa [[Skagen]].
Kwa jumla Denmark iko [[tambarare]]. [[Mlima]] wa juu
Visiwa vikubwa ni [[Funen]] (''Fyn''), [[Zealand]] (''Sjælland'') na [[Bornholm]] (''Bornholm'').
Mstari 70:
{{main|Historia ya Denmark}}
Katika [[karne
Katika [[karne ya
Denmark ikawa nchi yenye nguvu katika Skandinavia na kwenye pwani za Baltiki.
Kati ya 1397 hadi 1521 nchi zote za Skandinavia ziliunganishwa katika [[maungano ya kifalme]] chini ya wafalme wa Denmark ilhali kila nchi ilijitawala katika mambo ya ndani. Baada ya Uswidi kujitenga na umoja huu Norway iliendela kuwa chini ya Denmark hadi mwaka 1814. ▼
▲
Mwaka 1537 Denmark ilijiunga na mwendo wa [[Matengenezo ya Kanisa]] na [[kanisa la Kiluteri]] likawa [[dini rasmi]] nchini. Denmark ilikuwa kati ya nchi muhimu sana ya Uluteri. ▼
Baada ya Uswidi kujitenga na umoja huo, Norway iliendela kuwa chini ya Denmark hadi mwaka [[1814]].
Baada ya vita za [[Napoleoni]] Denmark iliondolewa utawala wa Norway iliyounganishwa na Uswidi mwaka 1814. Lakini koloni za Greenland, Iceland, Faroe na visiwa vya Karibi zilibaki kwa nchi. ▼
▲Mwaka [[1537]] Denmark ilijiunga na
Karne ya 19 ilileta fitina na Ujerumani juu ya utawala wa [[Schleswig]] na [[Holstein]]. Baada ya vita ya 1864 Denmark ilipaswa kuacha majimbo haya mawili kwa Ujerumani.▼
▲Baada ya [[vita]] za [[Napoleoni]] Denmark iliondolewa utawala wa Norway iliyounganishwa na Uswidi mwaka 1814. Lakini ma[[koloni]]
▲[[Karne ya 19]] ilileta [[fitina]] na Ujerumani juu ya utawala wa [[Schleswig]] na [[Holstein]]. Baada ya vita ya [[1864]] Denmark ilipaswa kuacha majimbo
Denmark haikushiriki katika [[Vita Kuu ya Dunia ya Kwanza]] lakini ilirudishwa sehemu ya kaskazini ya jimbo la Schleswig.
Wakati wa [[Vita Kuu ya Dunia ya Pili]] Denmark ilivamiwa na Ujerumani mwaka [[1940]] hadi [[1945]]. Wakati wa vita [[Iceland]] iliamua kutangaza
Mwaka [[1948]] mara baada ya vita visiwa vya [[Faroe]] vilipewa [[madaraka]] ya kujitawala lakini vilibaki ndani ya umoja na Denmark. Koloni la [[Greenland]] lilipewa madaraka hayo mwaka [[1979]].
Denmark ikawa kati ya nchi zilizounda [[UM]] na pia [[NATO]]. Mwaka 1973 ikajiunga na [[Jumuiya ya Ulaya]] (sasa: [[Umoja wa Ulaya]]).▼
Denmark ikawa kati ya nchi zilizounda [[UM]] na pia [[NATO]].
▲
== Watu maarufu ==
* [[Jens Fink-Jensen]]
==Tanbihi==
{{reflist|group="N"|30em}}
==Marejeo==
{{Reflist|30em}}
*{{da icon}} Busck, Steen and Poulsen, Henning (ed.), "Danmarks historie – i grundtræk", Aarhus Universitetsforlag, 2002, ISBN 87-7288-941-1
*{{da icon}} {{Cite book|last1=Gammelgaard |first1=Frederik |last2=Sørensen |first2=Niels
|year=1998
|title=Danmark – en demokratisk stat
|publisher=Alinea
|isbn=87-23-00280-8|ref=harv}}
*{{da icon}} {{Cite book|last=Jørgensen |first=Gitte
|year=1995
|title=Sådan styres Danmark
|publisher=Flachs
|isbn=87-7826-031-0|ref=harv}}
*{{da icon}} Michaelsen, Karsten Kjer, "Politikens bog om Danmarks oldtid", Politikens Forlag (1. bogklubudgave), 2002, ISBN 87-00-69328-6
*{{swe icon}} Nationalencyklopedin, vol. 4, Bokförlaget Bra Böcker, 2000, ISBN 91-7024-619-X.
==Viungo vya nje==
{{commons}}
* [http://www.denmark.dk/ Denmark.dk]
*{{CIA World Factbook link|da|Denmark}}
*[http://www.britannica.com/EBchecked/topic/157748/Denmark Denmark] entry at ''[[Encyclopædia Britannica]]''.
*[http://www.denmark.net/denmark-guide/danish-culture.html A guide to Danish Culture] at ''Denmark.net''.
*[http://ucblibraries.colorado.edu/govpubs/for/denmark.htm Denmark] at ''UCB Libraries GovPubs''.
*{{dmoz|Regional/Europe/Denmark}}
*[http://www.bbc.co.uk/news/world-europe-17929661 Denmark profile] from the [[BBC News]].
*[http://www.visitdenmark.com/ Tourism portal] at ''VisitDenmark''.
*[http://www.ifs.du.edu/ifs/frm_CountryProfile.aspx?Country=DK Key Development Forecasts for Denmark] from [[International Futures]].
;Serikali
*[http://www.um.dk/en Ministry of Foreign Affairs of Denmark]
*[http://statistikbanken.dk/statbank5a/SelectVarVal/Define.asp?Maintable=HISB3&PLanguage=1 Summary vital statistics about Denmark] from ''Statistikbanken''.
;Ramani
*{{wikiatlas|Denmark}}
*[http://earthobservatory.nasa.gov/IOTD/view.php?id=3389 Satellite image of Denmark] at the [[NASA Earth Observatory]].
;Biashara
* [http://wits.worldbank.org/CountryProfile/Country/DNK/Year/2012/Summary World Bank Summary Trade Statistics Denmark]
; Vyombo vya habari
*[http://news.google.com/news?hl=en&ned=us&ie=UTF-8&q=denmark%2F&btnG=Search Google news Denmark]
*[http://eudocs.lib.byu.edu/index.php/History_of_Denmark:_Primary_Documents History of Denmark: Primary Documents]
*{{da icon}} [http://kort.krak.dk/borgerdk.kortsoegning/imapDKbig.asp Krak printable mapsearch]
*{{sv icon}} {{en icon}} [http://www2.kms.dk/C1256AED004EA666/(AllDocsByDocld)/B825612735012CB1C1256AEF002C0B2C Ministry of the Environment National Survey and Cadastre]
*{{Wayback |date=20060208174808 |url=http://olddenmark.dk/ |title=Old Denmark in Cyberspace – Information about Denmark – the Danes }}
;Mengineyo
*[http://www.vifanord.de/index.php?id=1&L=1&rd=243343734 Vifanord.de] – library of scientific information on the Nordic and Baltic countries.
{{Umoja wa Ulaya}}
|