Tofauti kati ya marekesbisho "Georgia"

286 bytes added ,  miaka 6 iliyopita
no edit summary
|areami² = 26,912 <!--Do not remove per [[WP:MOSNUM]]-->
|percent_water =
|population_estimate = 4,661935,473880<ref>[[CIA World Factbook]], [https://www.cia.gov/library/publications/the-world-factbook/geos/gg.html]</ref>
|population_estimate_rank = ya 117119<sup>1</sup>
|population_estimate_year = 20052013
|population_census =
|population_census_year =
|population_density = 6470.8
|population_densitymi² = 166173.4 <!--Do not remove per [[WP:MOSNUM]]-->
|population_density_rank = 129137
|GDP_PPP = $17.79 billioni
|GDP_PPP_rank = ya 122
}}
[[Picha:Gg-map.png|left|thumb|300px|Ramani ya Georgia]]
'''Georgia''' (kwa [[Kigeorgia]]: საქართველო ''"Sakartvelo"'') ni nchi ya [[Kaukazi]] kati ya [[Ulaya]] na [[Asia]] kwenye [[mwambao]] wa [[Bahari Nyeusi]]. Imepakana na [[Urusi]], [[Uturuki]], [[Armenia]] na [[Azerbaijan]]. Georgia ilikuwa sehemu ya [[Umoja wa Kisovyeti]] lakini imekuwa nchi huru ya kujitegemea tangu [[1991]]. Mji mkuu ni [[Tbilisi]].
 
Georgia ilikuwa sehemu ya [[Umoja wa Kisovyeti]] lakini imekuwa [[nchi huru]] ya kujitegemea tangu [[1991]].
 
Mji mkuu ni [[Tbilisi]].
 
== Jiografia ==
Georgia ni hasa nchi ya milima ya [[Kaukazi]] inayofikia [[kimo]] cha [[mita]] 5,068 m. Kati ya [[safu]] mbili za milima kuna [[tambarare]] ya [[Kolkhis]]. Upande wa magharibi unaathiriwa na Bahari Nyeusi una hali ya hewa poa na mvua nyingi inayofaa kwa kilimo na hasa mizabibu.
 
Upande wa magharibi unaathiriwa na Bahari Nyeusi: una [[hali ya hewa]] poa na [[mvua]] nyingi inayofaa kwa [[kilimo]] hasa cha [[mizabibu]].
Maeneo ya Abkhazia na Ossetia ya Kusini yamedai uhuru na kwa sasa hayapo chini ya serikali kuu.
 
Maeneo ya [[Abkhazia]] na [[Ossetia ya Kusini]] yamedai [[uhuru]] na kwa sasa hayapo chini ya [[serikali]] kuu.
 
== Utamaduni ==
Georgia ina wakazi milioni 4.5. Zaidi ya milioni 1 hukaa mjini Tbilisi. Wakazi walio wengi husema [[Kigeorgia]] lakini kuna vikundi vya wasemaji wa [[Kirusi]], [[Kiarmenia]], [[Kiazeri]] na wengine.
 
Wakazi walio wengi (71%) husema [[Kigeorgia]] lakini kuna vikundi vya wasemaji wa [[Kirusi]] (9%), [[Kiarmenia]] (7%), [[Kiazeri]] (6%) na [[lugha]] nyingine.
 
Wageorgia wengi ni [[Wakristo]] wanaofuata [[Kanisa la Orthodoksi la Georgia]] (83.9%). Kuna pia Waislamuwafuasi wa [[Kanisa la Kitume la Armenia]] (3.9%) na Wakatoliki (0.8%). [[Waislamu]] ni 9.9%, wakati [[Wayahudi]] wanazidi kuhama.
 
==Watu maarufu==
Wageorgia wengi ni Wakristo wanaofuata Kanisa la Orthodoksi la Georgia. Kuna pia Waislamu (9%) na Wayahudi.
Mgeorgia anayejulikana zaidi duniani alikuwa [[Josef Stalin]], mtawala wa [[Urusi]] wakati wa [[Ukomunisti]].
 
== Tanbihi ==
Mgeorgia anayejulikana zaidi duniani alikuwa [[Josef Stalin]].
== Marejeo chini ya ukurasa ==
{{marejeo}}
 
== Viungo vya Njenje ==
* [http://www.tourism.gov.ge/geo/ Idara ya utalii ya Georgia]
* [http://www.government.gov.ge/eng/ Serikali ya Georgia]