Isilandi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 216 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q189 (translate me)
No edit summary
Mstari 15:
|leader_titles = [[Marais wa Iceland|Rais]] <br /> [[Mawaziri Wakuu wa Iceland|Waziri Mkuu]]
|leader_title2 =
|leader_names =[[Ólafur Ragnar Grímsson]] <br /> [[JóhannaSigmundur SigurðardóttirDavíð Gunnlaugsson]]
|leader_name2 = <!-- Halldór resigned yesterday -->
|area_rank = ya 107
|area_magnitude = 1 E11
Mstari 22:
|areami²= 39,768.5 <!-- Do not remove per [[WP:MOSNUM]] -->
|percent_water = 2.7
|population_estimate = 297325,139 <!--UN Common Database 2006 estimate-->671
|population_estimate_rank = ya 178
|population_estimate_year = Julai 2006
|population_census = 204,930
|population_census_year = Desemba 1970
|population_density =23.891
|population_densitymi² = 7.466 <!-- Do not remove per [[WP:MOSNUM]] -->
|population_density_rank = ya 222235
|Ethnic_groups =
|Ethnic_groups_year =
Mstari 60:
}}
[[Picha:Island-karte.png|thumb|left|280px|Ramani ya Iceland]]
'''Iceland''' (pia: '''''Aisilandi''''', '''''Isilandi'''''; Kiiceland: "Nchi ya barafu") ni nchi ya [[Ulaya]] kwenye [[kisiwa]] cha [[Bahari ya Atlantiki]] ya kaskazini. Iko [[km]] 300 kutoka [[Greenland]] upande wa magharibi na km 1000 kutoka [[Norwei]] upande wa mashariki.

Eneo lake ni km² 103,000 lakini idadi ya watu ni laki tatu pekee.

Ingawa Iceland siosi sehemu ya [[rasi ya Skandinavia]], inahesabiwa kati ya nchi za [[Skandinavia]].
 
== Wakazi ==
Watu wa Iceland karibu wote ni Wa[[skandinavia]]. [[Lugha ya Kiiceland]] bado inafanana sana na ile ya [[Kinorwei]] cha kale kilicholetwa kisiwani na wakazi wa kwanza miaka 1000 iliyopita. Watu bado wanaeleweawanaelewa mashairima[[shairi]] yaliyotunzwa tangu zamani ile.
 
Karibu Waiceland wotewengi (75%) ni [[Wakristo Waluteri.]] [[Walutheri]]. Kanisa la Kiluteri]]kitaifa la Kilutheri ni [[dini rasmi]] ya nchi. KunaWakristo piawa [[madhehebu]] mengine, kama vile [[Wakatoliki]], wachachewanafikia na12%. Kuna wafuasi wachache sana wa [[imani]] nyingine mbalimbali.
[[Picha:Reykjavík séð úr Hallgrímskirkju.jpeg|thumb|200px|Mji wa Reykyavik]]
 
== Historia ==
Iceland iko mbali na [[bara]] zala [[Ulaya]] na la [[Amerika]] tena katika [[mazingira]] ya [[baridi]]. Inaaminika haikuwa na watu kabisa hadi mwaka [[800]] [[BK]]. [[Wataalamu]] hawakubaliani kama ni mabahariama[[baharia]] kutoka [[Norwei]] au [[Ueire]] waliobahatika kufika kisiwani na kujenga makao ya kwanza.
 
Hakika waliofika wengi kidogo walikuwa Wa[[vikingWaviking]] au Wa[[norwei]] wa kale katika [[karne ya 9 BK]]. Kama Waeire walikuwepo walifukuzwa au kuwa sehemu za Waviking. Mtu wa kwanza aliyekumbukwa kwa jina alikuwa [[Flóki Vilgerðarson]].
 
Waviking waliofika walikuja pamoja na [[familia]] na [[watumishi]] au [[watumwa]] wao. Mnamo mwaka [[930]] BK machifuma[[chifu]] na wasimamizi wa familia zilizokuwepo walipatana kuhusu aina ya [[katiba]] kwa Iceland. Walianzisha [[bunge]] yala [[Althing]]. IlikuwaUlikuwa mkutano wa watu 36 walioitwa "Godi" wakiwa na cheo cha kuunganisha madaraka ya [[chifu]], [[hakimu]] na [[kuhani]]. Utaratibu huu wa kuwa na bunge umeendelea hadi leo bila kusimama. Hivyo Iceland ni nchi ya pekee amabakoambako utaratibu wa kidemokrasiaki[[demokrasia]] wa kale umeendelea wakati katika nchi za Ulaya nafasi ya wafalme au watawala wengine iliongezeka na kumeza [[haki]] zote za watu wa kawaida.
 
Mwaka [[985]] Mwiceland aligundua njia ya kufika [[Greenland]] na baadaye [[Amerika ya Kaskazini]]. Mviking mmoja kwa jina "[[Erik Mwekundu]]" alifukuzwa kisiwani kwa sababu alikuwa [[mwuaji]]. Alielekea magharibi kwa [[jahazi]] yake na kufika kwanza Greenland halafu [[pwani]] laya [[Kanada]] ya leo. Aliita bara jipya "nchi ya [[mzabibu]]" kwa sababu alikuta aina ya mizabibu isipokuwa bila matundama[[tunda]].
 
Tangu [[1262]] uhuru wa Iceland ilikwishaulikwisha kwa sababu viongozi walijiunga na [[Ufalme wa Norwei]]. Iceland iliendelea kuwa na bunge lake na madaraka mbalimbali - hasa kwa sababu [[usafiri]] uliendelea kuwa vigumumgumu - lakini mabwana wakuu walikuwa sasa waalmewafalme wa Skandinavia, kwanza Wanorwei, baadaye Wa[[denmark]].
 
Mwaka [[1918]] [[Denmark]] ilirudisha madaraka yote ya serikali kwa Waiceland wenyewe isipokuwa mfalme wa Denmark aliendelea kama Mkuu wa nchi.
 
Wakati wa [[Vita Kuu ya Dunia ya Pili]] Denmark ilivamiwa na [[Ujerumani]] na Althing iliamua ya kwamba kuanzia sasa kisiwa kitajitawala kabisa. Mwaka [[1944]] Iceland ilipata uhuru kamili.
 
Baada ya vita Iceland ilikuwa nchi mwanachama ya [[NATO]] lakini haina wanajeshi hadi leo. Ilifanya [[mkataba]] na [[Marekani]] ya kuwa Waamerika wanapewa haki ya kutumia kituo cha ndege kisiwani na kwa upande mwingine wanaahidi kutetea Iceland.
 
== Utamaduni ==
Hadi leo Waiceland hawana majina ya pili au ya familia. Kila [[mtoto]] anapewa jina lake la kwanza halafu jina la [[baba]] - wakati mwingine pia jina la [[mama]]. Kama mto ni wa kiume "-son" (=mwana) itaongezwa, kama ni binti "-dottir" (binti).
 
Kwa mfano [[mwimbaji]] wa kikemashuhuri wa Iceland mashuhurikike [[Björk Guðmundsdóttir]] alipewa jina la "Björk". Baba yake alikuwa Guðmund hivyo anatumia jina hili pamoja na "-dottir": Guðmundsdottir: "Björk binti wa Guðmund". Kama mwenyewe atamzaa [[binti]] anaweza kuitwa "Björkdottir" lakini mara nyingi jina la baba hutumiwa. [[Wanawake]] waneendelea na jina hili, hawachihawaliachi wakati wa kuolewa.
 
== Miji ==
[[Reykjavík]] ni [[mji mkuu]] wa Iceland pia [[bandari]] kubwa na [[kitovu]] cha kiuchumi[[uchumi]] na kiutamaduni[[utamaduni]] wa nchi.
 
Miji mingine ni pamoja na [[Akureyri]], [[Kópavogur]], [[Hafnarfjördhur]], [[Keflavík]] na [[Vestmannaeyjar]].
 
[[Picha:FlightOverVatnajoekull.jpg|120px|thumb|left|Vatnajökull ni [[barafuto]] kubwa kabisa ya Ulaya]]
 
== Jiografia ==
Iceland ina asili ya kivolkenoki[[volkeno]]. Ni kisiwa kikubwa cha [[safu]] ya [[mgongo kati wa Atlantiki]] mahali ambako mabambama[[bamba]] ya [[bamba la Amerika ya Kaskazini|Amerika ya Kaskazini]] na [[bamba la Ulaya-Asia|Ulaya-Asia]] yanakutana. Kwa sababu hiihiyo kuna milima mengimingi, hasa [[volkeno]] ni nyingi.
 
Kwa ujumla [[hali ya hewa]] ni baridi na [[barafuto]] zinafunika sehemu kubwa ya nchi. Hasa [[nyanda za juu]] ni baridi mno, hivyo hakuna [[mimea]]. Karibu makazi yote ya watu ni karibu na pwani. Kusini ya kisiwa haikuwa baridi mno kwa sababu ya [[mkondo wa ghuba]] linaloendelea kusukuma maji ya ghuba la Mexiko hadi Atlantiki ya kaskazini. Mkondo huu unapofika Iceland si ya moto tena lakini vuguvugu kidogo hivyo inazuia baridi kali sana.
 
Kusini mwa kisiwa haikuwa baridi mno kwa sababu ya [[mkondo wa ghuba]] linaloendelea kusukuma [[maji]] ya [[ghuba la Mexiko]] hadi Atlantiki ya kaskazini. [[Mkondo]] huo unapofikia Iceland si ya [[moto]] tena lakini [[vuguvugu]] kidogo hivyo inazuia baridi kali sana.
Volkeno zimesababisha kuwepo kwa maji ya moto mahali pengi. Waiceland wanapenda kuogelea nje katika mabwawa hata wakati wa theluji katika maji ya moto kutokana na joto la kivolkeno. Joto hili linatumika kidogo hata kwa kilimo; linapasha moto [[nyumba za kioo]] na kuwezesha mimea kuzaa matunda mwaka wote hata wakati wa baridi kali. Kwa njia hii Iceland inavuna ndizi na machungwa yake!
{{Ulaya}}
 
Volkeno zimesababisha kuwepo kwa [[maji ya moto]] mahali pengi. Waiceland wanapenda kuogelea nje katika mabwawama[[bwawa]] hata wakati wa [[theluji]] katika maji ya moto kutokana na [[joto]] la kivolkeno. Joto hilihilo linatumika kidogo hata kwa [[kilimo]]; linapasha moto [[nyumba za kioo]] na kuwezesha mimea kuzaa matunda mwaka wote, hata wakati wa baridi kali. Kwa njia hiihiyo Iceland inavuna [[ndizi]] na machungwama[[chungwa]] yake!
 
{{Ulaya}}
{{Mbegu-jio-Ulaya}}