Ukimwi : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d (Script) File renamed: File:AIDS cases worldwide.png → File:AIDS cases worldwide 1979-1995.png File renaming criterion #3: Correct misleading names into accurate ones.Instead of updating this I wi... |
No edit summary |
||
Mstari 3:
Ugonjwa huu umeua watu zaidi ya milioni 36 hasa wanaoishi [[Kusini mwa Afrika]] kwa mujibu wa [[Shirika la Afya Duniani]]. Kwa mwaka [[2005]] pekee watu milioni 3.1 wamefariki na 570,000 kati yao ni [[watoto]].
Tarehe ya kwanza ya mwezi wa kumi na mbili kila [[mwaka]] ni [[
[[Picha:Hiv budding.jpg | haki | thumb | Virusi ya UKIMWI ikitoka [[seli]].]]
==Maana ya jina==
*'' Ukosefu'' maana yake ni kwamba watu hawatungwi na ugonjwa huo, bali wanaupata baada ya kuambukizwa virusi ya
*'' Kinga'' inahusu [[mfumo wa kinga]] ambao ni sehemu ya mwili dhidi ya [[ugonjwa]].
*'' Mwili'' usio na kinga unapatwa na matatizo mbalimbali kwa sababu mfumo wa kinga umeharibika, na hauwezi kupigana na ugonjwa wowote.
Mstari 37:
== Matibabu ==
Kuna dawa za kusaidia watu wenye UKIMWI. Hizi zinaitwa ''dawa za kurefusha maisha''. Dawa za kurefusha maisha haziwezi kutibu
Watu wenye VVU / UKIMWI ambao kuchukua dawa za kurefusha maisha wanaweza kuishi muda mrefu, bila kupata maradhi yanayothibitisha UKIMWI.
Mstari 59:
== Njia za kujikinga na UKIMWI ==
Kuna njia nyingi za watu kupambana na [[janga] hilo.
|