Dondoo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Masahihisho ya mabingwa wa uainishaji.
d Tumia herufi ndogo katika maelezo ya ngazi.
Mstari 6:
| maelezo_ya_picha = [[Dondoo-nyika]] <br><sup>(''Raphicerus campestris'')</sup>
| domeni =
| himaya = [[Mnyama|Animalia]] <small>(Wanyama)</small>
| faila = [[Chordata]] <small>(Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)</small>
| ngeli = [[Mamalia]] <small>(Wanyana wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao)</small>
| oda = [[Artiodactyla]] <small>(Wanyama wenye vidole viwili au vinne mguuni)</small>
| nusuoda = [[Ruminantia]]
| familia = [[Bovidae]] <small>(Wanyama walio na mnasaba na [[ng'ombe]])</small>
| bingwa_wa_familia = [[John Edward Gray|J. E. Gray]], 1821
| nusufamilia = [[Antilopinae]] <small>(Wanyama wanaofanana na [[swala]])</small>
| jenasi = ''[[Raphicerus]]'' <small>(Dondoo)</small>
| bingwa_wa_jenasi = [[Charles Hamilton Smith|C. H. Smith]], 1827
| subdivision = Spishi 3:
Mstari 21:
:''[[Raphicerus sharpei|R. sharpei]]'' <small>[[Oldfield Thomas|Thomas]], 1897</small>
}}
Kutoka Wikipedia, ensaiklopidiakamusi elezo huru
 
'''Dondoo''', '''dondoro''' au '''isha''' ni [[mnyama|wanyamapori]] wadogo wa [[jenasi]] ''[[Raphicerus]]'' katika [[familia (biolojia)|familia]] [[Bovidae]] wenye [[sikio|masikio]] makubwa. Wana rangi ya mchanga inayoelekea nyekundu na mara nyingi madoa au milima nyeupe. Madume wana [[pembe]] fupi na laini. Wanatokea [[Afrika ya Kusini]] na ya [[Afrika ya Mashariki|Mashariki]] katika maeneo mbalimbali kutoka ukanda wa [[jangwa]] mpaka [[kilima|vilima]] vyenye [[msitu]] wazi. Wanyama hawa hula [[jani|majani]], [[tawi|vitawi]], [[mzizi|mizizi]] na [[kiazi|viazi]].