Kongoni : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Sahihisha kosa katika elezo la nusufamilia.
d Tumia herufi ndogo katika maelezo ya ngazi.
Mstari 4:
| picha = Hartebeest.jpg
| upana_wa_picha = 250px
| maelezo_ya_picha = [[Kongoni mashariki]] <br /><sup>(''Alcelaphus buselaphus cokii'')</sup>
| domeni =
| himaya = [[Mnyama|Animalia]] <small>(Wanyama)</small>
| faila = [[Chordata]] <small>(Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)</small>
| ngeli = [[Mamalia]] <small>(Wanyana wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao)</small>
| oda = [[Artiodactyla]] <small>(Wanyama wenye vidole viwili au vinne mguuni)</small>
| nusuoda = [[Ruminantia]]
| familia = [[Bovidae]] <small>(Wanyama walio na mnasaba na [[ng'ombe]])</small>
| bingwa_wa_familia = [[John Edward Gray|J. E. Gray]], 1821
| nusufamilia = [[Alcelaphinae]] <small>(Wanyama wanaofanana na [[kongoni]])</small>
| bingwa_wa_nusufamilia = [[Victor Brooke|Brooke]], 1876
| jenasi = ''[[Alcelaphus]]'' <small>(Kongoni)</small>
| bingwa_wa_jenasi = [[Henri Marie Ducrotay de Blainville|de Blainville]], 1816
| subdivision = Spishi 3:
Mstari 22:
:''[[Alcelaphus lichtensteinii|A. lichtensteinii]]'' <small>[[Wilhelm Peters|Peters]], 1849</small>
}}
Kutoka Wikipedia, ensaiklopidiakamusi elezo huru
 
'''Kongoni''' ni [[mnyama|wanyamapori]] wakubwa wa [[jenasi]] ''[[Alcelaphus]]'' katika [[familia (biolojia)|familia]] [[Bovidae]]. Kwa asili jina hili lilitumika kwa [[nususpishi]] ''A. buselaphus cokii'' lakini siku hizi [[spishi]] na nususpishi zote za ''Alcelaphus'' huitwa kongoni. Wanatokea [[savana]] za [[Afrika]] tu. Rangi yao ni ya mchanga lakini tumbo na matako ni nyeupe. Wana kichwa kirefu na pembe zao zimepindika na zina umbo wa [[zeze]] zikionwa kutoka mbele. Wanyama hawa hula [[nyasi|manyasi]].