Tandala : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Badilisha matini ya Kingereza kuwa Kilatini.
d Tumia herufi ndogo katika maelezo ya ngazi.
Mstari 4:
| picha = Tragelaphus strepsiceros.JPG
| upana_wa_picha = 250px
| maelezo_ya_picha = Dume la [[tandala mkubwa]] <br><sup>(''Tragelaphus strepsiceros'')</sup>
| domeni =
| himaya = [[Mnyama|Animalia]] <small>(Wanyama)</small>
| faila = [[Chordata]] <small>(Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)</small>
| ngeli = [[Mamalia]] <small>(Wanyana wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao)</small>
| oda = [[Artiodactyla]] <small>(Wanyama wenye vidole viwili au vinne mguuni)</small>
| nusuoda = [[Ruminantia]] <small>(Wanyama wanaocheua)</small>
| familia = [[Bovidae]] <small>(Wanyama walio na mnasaba na [[ng'ombe]])</small>
| bingwa_wa_familia = [[John Edward Gray|J. E. Gray]], 1821
| jenasi = ''[[Tragelaphus]]'' <small>([[Nyala]], [[pongo]] na [[tandala]])</small>
| bingwa_wa_jenasi = [[Henri Marie Ducrotay de Blainville|de Blainville]], 1816
| subdivision = Spishi 8:
:''[[Tragelaphus angasii|T. angasii]]'' <small>[[George French Angas|Angas]], 1849</small>
Mstari 25:
:''[[Tragelaphus sylvaticus|T. sylvaticus]]'' <small>([[Anders Erikson Sparrman|Sparrman]], 1780)</small>
}}
Kutoka Wikipedia, ensaiklopidiakamusi elezo huru
 
'''Tandala''' ni [[mnyama|wanyama]] wa [[jenasi]] ''[[Tragelaphus]]'' katika [[familia (biolojia)|familia]] [[Bovidae]]. Spishi nyingine huitwa '''bongo''', '''kulungu''', '''malu''', '''nyala''' au '''nzohe'''. Wanatokea [[Afrika]] katika maeneo yenye [[mti|miti]] kutoka nyika hadi msitu. Wana milia na madoa nyeupe juu ya rangi ya [[kahawa]] au kijivu. Dume ni kubwa kuliko jike na ana pembe ndefu zilizopotolewa. Jike hana pembe. Wanyama hawa hula [[jani|majani]], [[nyasi|manyasi]], [[tunda|matunda]] na [[kiazi|viazi]] vya gugu.