Wadudu : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Nyongeza uainisho |
Maelezo ya picha |
||
Mstari 4:
| picha = Coléoptère schématique.jpg
| upana_wa_picha = 300px
| maelezo_ya_picha = Maumbile ya mdudu: A. Kichwa, B. Toraksi (kidari), C. Fumbatio, 1. Kipapasio, 2. Mandibula (taya), 3. Laboro (mdomo wa juu), 4. Palpi ya maxila, 5. Klipei, 6. Paji, 7. Verteksi (pia ya kichwa), 8. Pronoto, 9. Skutelo, 10. Elitra (mabawa ya mbele), 11. Pingili, 12. Spirakulo, 13. Mguu wa mbele, 14. Mguu wa kati, 15. Mguu wa nyuma.
| himaya = [[Animalia]] (Wanyama)
| faila = [[Arthropoda]] (Wanyama wenye mwili wa pingili na miguu ya kuunga wasio na ugwe wa mgongo kama wadudu, nge, buibui)
|