Rosetta (kipimaanga) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '350px|thumbnail|Rosetta '''Rosetta''' ni chombo cha angani cha Mamlaka ya Ulaya ya Usafiri wa Anga. Ilirushwa angani kutoka kituo cha...'
 
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Rosetta.jpg|350px|thumbnail|Rosetta]]
 
'''Rosetta''' ni [[chombo cha angani]] cha [[Mamlaka ya Ulaya ya Usafiri wa Anga]]. Ilirushwa angani kutoka kituo cha angani [[Kourou]] mwaka 2004 kwa roketi ya [[Ariane 5]] kwa kusudi la kufikia [[nyotamkia]] ya [[67P/Churyumov–Gerasimenko]].
 
Ilhali hakuna roketi bao yenye nguvu ya kufiisha chombo moja kwa moja hadi nyotamkia Rosetta ilitumia njia ya kuzunguka mara kadhaa Dunia yetu na sayari ya [[Mirihi]] kwa kusudi la kuongeza mwendo wake kwa msaada wa graviti ya sayari hizi. Rosetta inapata nguvu yake kwa kutumia seli za [[umemenuru]]. Ilhali nuru a jua inapungua sana nje ya njia ya Mirihi chombo kilingia katika kipindi kirefu cha usingizi wa miezi 31 kwa kusudi la kutunza nishati ya beteri zake hadi kukaribia lengo lake. Tarehe 20 Januari 2014 chombo kiliamka tena wakati wa kukaribia nyotamkia.