Rosetta (kipimaanga) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Rosetta.jpg|350px|thumbnail|Rosetta]]
[[Picha:Trajectoire-Rosetta.svg|350px|thumbnail|njia ya Rosetta kutoka dunia hadi kufikia nyotamkia 67P/Churyumov-Gerasimenko. Njia za Rosetta (nyeusi), Dunia (kijani), Mirihi (nyekundu), Mshtarii (kahawia) na 67P/Churyumov-Gerasimenko (buluu).]]
 
'''Rosetta''' ni [[chombo cha angani]] cha [[Mamlaka ya Ulaya ya Usafiri wa Anga]]. Ilirushwa angani kutoka kituo cha angani [[Kourou]] mwaka 2004 kwa roketi ya [[Ariane 5]] kwa kusudi la kufikia [[nyotamkia]] ya [[67P/Churyumov–Gerasimenko]].