Rosetta (kipimaanga) : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[Picha:Rosetta.jpg|350px|thumbnail|Rosetta]]
[[Picha:Trajectoire-Rosetta.svg|350px|thumbnail|'''Njia ya Rosetta''' hadi kufikia nyotamkia 67P/Churyumov-Gerasimenko. Njia za Rosetta (nyeusi), Dunia (kijani), [[Mirihi]] (nyekundu), [[Mshtarii]] (kahawia) na [[67P/Churyumov-Gerasimenko]] (buluu). Karibu na na. 9 chombo kilifikia njia ya nyotamkia, kwenye na. 10 kilianza
'''Rosetta''' ni [[chombo cha angani]] cha [[Mamlaka ya Ulaya ya Usafiri wa Anga]].
Ilhali hakuna [[roketi bao]] yenye nguvu ya
Rosetta inapata nguvu yake kwa kutumia [[seli]] za [[umemenuru]]. Ilhali [[nuru]] ya jua inapungua sana nje ya njia ya Mirihi, chombo kiliingia katika kipindi kirefu cha [[usingizi]] wa miezi 31 kwa kusudi la kutunza [[nishati]] ya [[beteri]] zake hadi kukaribia lengo lake. Tarehe [[20 Januari]] [[2014]] chombo kiliamka tena wakati wa kukaribia nyotamkia.
Mwezi wa Agosti 2014 ilifika ikaanza kuzunguka nyotamkia hii. Mwezi wa Novemba 2014 ilirusha lander yake Philae ilishuka kwenye uso wa nyotamkia tarehe 11 Novemba 2014 ikiwa mara ya kwanza ya kwamba chombo kilichotengenezwa na binadamu ilifikia kwenye nyotamkia.▼
▲Mwezi wa Agosti 2014 ilifika ikaanza kuzunguka nyotamkia
[[Jamii:Usafiri wa angani]]
|