ESA : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
img
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Ariane 1 Le Bourget FRA 001.jpg|300px|thumbnail|Mfano wa roketi ya Ariane 1 inayotumiwa na ESA]]
[[Picha:Views in the Main Control Room (12052189474).jpg|300px|thumbnail|Kituo cha kusimamia operesheni kwenye [[anga la nje]] huko [[Darmstadt]]]]
'''ESA''' ni kifupi cha [[Kiingereza]] cha "'''European Space Agency'''" (Mamlaka ya Ulaya ya Usafiri wa Anga). Taasisi hiihiyo ilianzishwa 1975 na nchi 10 zamwaka [[Umoja wa Ulaya1975]]. Wajibu wake ni kuratibu miradi ya nchi za Ulaya ya kuendesha utafiti na uchunguzi wa anga. Shabaha ni hasa kuendeleza juhudi za nchi za Ulaya katika teknolojia ya angani iliyokuwa nyuma sana kulingana na kazi10 za [[NASA|Marekani]] na [[Urusi]] wakati ule. Mwaka 2014 kulikuwa na nchi wanachama 20, na kati ya hao ni nchi 18 wanachama wa Umoja wa Ulaya pamoja na [[Uswisi]] na [[Norwei]]. Kufuatana na katiba ya ESA inalenga shabaha siziso za kijeshi pekee.
 
Wajibu wake ni kuratibu miradi ya nchi za Ulaya ya kuendesha [[utafiti]] na [[uchunguzi]] wa [[anga]]. Shabaha ni hasa kuendeleza juhudi za nchi za Ulaya katika [[teknolojia ya angani]] iliyokuwa nyuma sana kulingana na kazi za [[NASA|Marekani]] na [[Urusi]] wakati ule.
ESA inashirikiana kwa karibu na Umoja wa Ulaya na taasisi husika za kitaifa hasa za [[Ufaransa]] na [[Ujerumani]].
 
Katibu Mkuu wa ESA ni Mfaransa Jean-Jacques Dordain.
Mwaka [[2014]] kulikuwa na nchi wanachama 20, na kati ya hizo kuna nchi 18 wanachama wa Umoja wa Ulaya pamoja na [[Uswisi]] na [[Norwei]]. Kufuatana na katiba yake, ESA inalenga shabaha zisizo za ki[[jeshi]] pekee.
 
ESA inashirikiana kwa karibu na Umoja wa Ulaya na [[taasisi]] husika za kitaifa, hasa za [[Ufaransa]] na [[Ujerumani]].
 
Katibu Mkuu wa ESA ni Mfaransa [[Jean-Jacques Dordain]].
 
==Ofisi na vituo vyaa EAS==
* [[Darmstadt]], [[Ujerumani]]: Kituo cha kusimamia operesheni kwenye anga la nje (European Space Operations Centre ESOC)
* [[Paris]], [[Ufaransa]]: Ofisi Kuu
* [[Noordwijk]], [[Uholanzi]]: TaaisiTaasisi ya utafiti na teknolojia ya usafiri wa anga la nje
* [[Cologne]], [[Ujerumani]]: Kituo cha wanaanga (European Astronaut Centre)
* [[Oberpfaffenhofen]], Ujerumani: ESA Business Incubation Centre (BIC)
* [[Frascati]], [[Italia]]: Taasisi wa utafiti wa anga la nje
* [[Villafranca del Castillo]], [[Villanueva de la Cañada]], [[Hispania]]: Kituo cha stronomia[[astronomia]] ya Ulaya
* [[Kourou]], [[Guyana ya Kifaransa]]: Kituo cha Anganiangani ambako [[roketi]] nyingi za Kiulaya zinarushwa hapa
* [[Kiruna]], [[Uswidi]]: Kituo cha Ulaya cha utafiti wa hali ya [[kimo cha juu]] na [[graviti]]
 
ESA ina pia [[ofisi]] za [[mawasiliano]] katika Marekani, Urusi, [[Uingereza]], Ufaransa na [[Ubelgiji]]. MWakaMwaka [[2013]] kulikuwa na wafanyakazi wa ESA 2250.
 
==Viungo vya nje==
{{CommoncatCommonscat|European Space Agency}}
 
[[Jamii:Umoja wa Ulaya]]
[[jamii:Usafiri wa anga la njeangani]]