Ufalme wa Muungano : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 55:
Mara nyingi huitwa kwa [[Kiswahili]] "'''Uingereza'''" tu ingawa [[nchi ya Uingereza]] ni moja tu kati ya sehemu za ufalme huo pamoja na [[Uskoti]], [[Welisi]] na [[Eire ya Kaskazini]].
 
Nchi iliongoza [[mapinduzi ya viwanda]] duniani, ilenea katika ma[[bara]] yote kwa ma[[koloni]] yake mengi ikabaki hadi leo kati ya nchi muhimu zaidi ulimwenguni.
 
Ni mwanachama mwanzilishi wa [[Umoja wa Mataifa]], ambapo ana [[kiti cha kudumu]] na [[kura ya turufu]] katika [[Halmashauri ya Usalama]], pia ni mwanachama wa [[Umoja wa Ulaya]].
 
Upande wa [[dini]], kadiri ya [[sensa]] ya mwaka [[2011]], 59.5% za wakazi ni [[Wakristo]] (hasa wa [[Anglikana]], halafu [[Wakatoliki]], [[Wakalvini]] na wengineo), 4.4% ni [[Waislamu]], 1.3% ni [[Mabanyani]]. 25.7% hawana dini yoyote.
 
== Muungano na utawala ==