Ugiriki : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 15:
|government_type = [[Jamhuri]]
|leader_titles = [[Rais wa Ugiriki|Rais]]<br />[[Waziri Mkuu wa Ugiriki|Waziri Mkuu]]
|leader_names = [[Karolos Papoulias]] <br /> [[
|accessionEUdate = [[1 Januari]] [[1981]]
|area_rank = ya 96
Mstari 25:
|population_estimate_rank = ya 74
|population_estimate_year = 2005
|population_census = 10,
|population_census_year =
|population_density =
|population_densitymi² =
|population_density_rank = ya
|GDP_PPP = $261.018 billioni <!--IMF-->
|GDP_PPP_rank = ya 37
Mstari 58:
Imepakana na [[Albania]], [[Jamhuri ya Masedonia]], [[Bulgaria]] na [[Uturuki]].
Upande wa kusini-magharibi na kusini-mashariki kuna [[pwani]] ndefu kwenye [[Bahari ya Mediteranea]].
[[Bahari]]ni huko kuna visiwa vingi sana ambavyo ni sehemu za Ugiriki.
Mstari 64:
Ugiriki ni nchi yenye [[historia]] ndefu na maarufu sana, hata inaitwa "nchi mama ya Ulaya".
[[Lugha]] ya [[Kigiriki]] inaendelea kuandikwa kwa [[Alfabeti ya Kigiriki]] inaotumiwa tangu miaka 3000 iliyopita, lakini lugha yenyewe imebadilika. Wagiriki wa leo hawaelewi tena [[Kigiriki cha Kale]] moja kwa moja.
Wakazi wengi wanafuata [[dini]] ya [[Ukristo]], hasa katika [[Kanisa la Kiorthodoksi la Kigiriki]] (97%). 1.3% ni [[Waislamu]].
Ugiriki ni nchi mwanachama wa [[Umoja wa Ulaya]] tangu [[1981]].
|