Urusi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Robot: ar:روسيا is a featured article; cosmetic changes
No edit summary
Mstari 20:
|area_magnitude = 1 E12
|percent_water = 13<!--http://www.gks.ru/scripts/free/1c.exe?XXXX09F.2.1/010000R-->
|population_estimate = 142143,400800,000 <!--http://www.interfax.ru/e/B/politics/28.html?id_issue=11574942-->
|population_estimate_year = 20062014
|population_estimate_rank = ya 79
|population_census = 145,164,000<!--http://www.eastview.com/all_russian_population_census.asp-->
|population_census_year = 2002
|population_density = 8.3
|population_densitymi² = 21.85
|population_density_rank = ya 209217
|GDP_PPP_year = 2005
|GDP_PPP = $1.576 trillioni <!--http://www.imf.org/external/pubs/ft/weo/2006/01/data/dbcoutm.cfm?SD=2005&ED=2005&R1=1&R2=1&CS=3&SS=2&OS=C&DD=0&OUT=1&C=512-941-914-446-612-666-614-672-311-946-213-137-911-962-193-674-122-676-912-548-313-556-419-678-513-181-316-682-913-684-124-273-339-921-638-948-514-686-218-688-963-518-616-728-223-558-516-138-918-353-748-196-618-278-522-692-622-694-156-142-624-449-626-564-628-283-228-853-924-288-233-293-632-566-636-964-634-182-238-453-662-968-960-922-423-714-935-862-128-716-611-456-321-722-243-965-248-718-469-724-253-576-642-936-643-961-939-813-644-199-819-184-172-524-132-361-646-362-648-364-915-732-134-366-652-734-174-144-328-146-258-463-656-528-654-923-336-738-263-578-268-537-532-742-944-866-176-369-534-744-536-186-429-925-178-746-436-926-136-466-343-112-158-111-439-298-916-927-664-846-826-299-542-582-443-474-917-754-544-698&S=PPPWGT&CMP=0&x=25&y=12-->
Mstari 48:
}}
 
'''Urusi''' (Россия ''Rossiya'') ni nchi ya [[Ulaya]] ya Mashariki na [[Asia]]. Mji mkuu ni [[Moscow]]. Ni nchi kubwa duniani kieneo, ikiwa na [[km²]] 17,075,400. Kuna wakazi 144,000,000. Eneo lake ni 17,075,400 [[km²]].
 
Urusi imepakana na [[Norway]], [[Ufini]], [[Estonia]], [[Latvia]], [[Lithuania]], [[Poland]], [[Belarus]], [[Ukraine]], [[Georgia (nchi)|Georgia]], [[Azerbaijan]], [[Kazakhstan]], [[China]], [[Mongolia]] na [[Korea ya Kaskazini]]. Iko karibu vilevile na maeneo ya [[Marekani]] (jimbo la [[Alaska]] ikoliko ngambong'ambo ya [[mlango wa Bering]]) na [[Japani]] (kisiwa cha [[Hokkaido]] kiko ng'ambo ya mlango wa [[La Pérouse]].
Hadi [[1991]] Urusi ilikuwa sehemu ya [[Umoja wa Kisovyeti]] na kiini chake. Wakati ule iliitwa [[Shirikisho la Jamhuri ya Kisovyiet ya Kijamii ya Kirusi]]. Urusi ilikuwa udikteta chini ya [[chama cha kikomunisti]]. Tangu 1990 imekuwa [[demokrasia]]. Muundo wa serikali ni [[shirikisho]] la jamhuri chini ya [[rais mtendaji]].
 
Hadi [[1991]] Urusi ilikuwa sehemu ya [[Umoja wa Kisovyeti]] na kiini chake. Wakati ule iliitwa [[Shirikisho la Jamhuri ya Kisovyiet ya Kijamii ya Kirusi]]. Urusi ilikuwa udikteta chini ya [[chama cha kikomunisti]]. Tangu 1990 imekuwa [[demokrasia]]. Muundo wa serikali ni [[shirikisho]] la jamhuri chini ya [[rais mtendaji]].
 
Urusi ilikuwa [[udikteta]] chini ya [[chama cha kikomunisti]]. Tangu [[1990]] imekuwa [[demokrasia]].
 
Muundo wa [[utawala]] ni [[shirikisho]] la [[jamhuri]] chini ya [[rais mtendaji]].
 
== Jiografia ==
Eneo la Shirikisho la Kirusi linajumlisha sehemu kubwa ya kaskazini ya mabarama[[bara]] ya [[Ulaya]] na [[Asia]]. Umbali kati ya upande wa magharibi na upande mashariki kabisa ni karibu [[kilomita]] 8,000. Mkoa wa [[Kaliningrad]] haufuatani moja kwa moja na maeneo mengine ya Urusi umetengwa nayo na [[nchi za Kibaltiki]].
Urusi imepakana na [[Norway]], [[Ufini]], [[Estonia]], [[Latvia]], [[Lithuania]], [[Poland]], [[Belarus]], [[Ukraine]], [[Georgia (nchi)|Georgia]], [[Azerbaijan]], [[Kazakhstan]], [[China]], [[Mongolia]] na [[Korea ya Kaskazini]]. Iko karibu vilevile na maeneo ya [[Marekani]] (jimbo la [[Alaska]] iko ngambo ya [[mlango wa Bering]] na [[Japani]] (kisiwa cha [[Hokkaido]] kiko ng'ambo ya mlango wa [[La Pérouse]].
 
Mkoa wa [[Kaliningrad]] haufuatani moja kwa moja na maeneo mengine ya Urusi: umetengwa nayo na [[nchi za Kibaltiki]].
 
Mara nyingi Urusi hutazamiwa kama sehemu mbili za: Urusi wa Ulaya hadi milima ya [[Ural]] na [[Siberia]] au Urusi wa Kiasia ambayo ni nchi pana kati ya [[Ural]] na [[Pasifiki]]. Pwani ndefu la kaskazini linatazama [[Bahari ya Aktiki]].
Eneo la Shirikisho la Kirusi linajumlisha sehemu kubwa ya kaskazini ya mabara ya [[Ulaya]] na [[Asia]]. Umbali kati ya upande wa magharibi na upande mashariki kabisa ni karibu kilomita 8,000. Mkoa wa [[Kaliningrad]] haufuatani moja kwa moja na maeneo mengine ya Urusi umetengwa nayo na [[nchi za Kibaltiki]].
 
Pwani ndefu ya kaskazini inatazama [[Bahari ya Aktiki]].
Mara nyingi Urusi hutazamiwa kama sehemu mbili za Urusi wa Ulaya hadi milima ya [[Ural]] na [[Siberia]] au Urusi wa Kiasia ambayo ni nchi pana kati ya [[Ural]] na [[Pasifiki]]. Pwani ndefu la kaskazini linatazama [[Bahari ya Aktiki]].
 
Sehemu kubwa ya Urusi ni tambarare penye vilima vidogo tu. Milima mirefu kuna katikainapatikana kusini na mashariki yamwa [[Siberia]].
 
=== Mito ===
Kati ya mito mikubwa kuna:
* [[Volga]] ambayo ni [[mto]] mrefu wa Ulaya ukiishia katika [[Bahari ya Kaspi]]
* [[Dnepr]] unaoishia katika Nahari[[Bahari Nyeusi]]; ni [[njia ya maji]] muhimu
* [[Oka (mto)|Oka]]
* [[Moskva (mto)|Moskva]]
Line 75 ⟶ 83:
* [[Amur (mto)|Amur]]
 
=== Miji mikubwa ya Urusi ===
Ma[[jiji]] mawili makuu ni [[Moscow]] na [[Sankt Peterburg]].
Majiji mawili makuu ni [[Moscow]] na [[Sankt Peterburg]]. Sankt Peterburg ilikuwa mji mkuu kuanzia mwaka 1703 hadi 1918 kama makao makuu ya [[tsar]] au kaisari wa Urusi. 1924-1989 ikaitwa Leningrad kwa heshima ya kiongozi wa mapinduzi. Moscow ni mji mkuu wa kale iliyorudishwa nafasi yake baada ya mapinduzi ya kikomunisti ya 1918.
Moscow ni [[mji mkuu]] wa kale uliyorudishiwa nafasi yake baada ya [[mapinduzi ya kikomunisti]] ya mwaka 1918.
 
Majiji mawili makuu ni [[Moscow]] na [[Sankt Peterburg]]. Sankt Peterburg ilikuwa [[mji mkuu]] kuanzia mwaka [[1703]] hadi [[1918]] kama [[makao makuu]] ya [[tsar]] au [[kaisari]] wa Urusi. Miaka [[1924]]-[[1989]] ikaitwa Leningrad kwa heshima ya [[Lenin]], kiongozi wa [[mapinduzi]]. Moscow ni mji mkuu wa kale iliyorudishwa nafasi yake baada ya mapinduzi ya kikomunisti ya 1918.
Miji mingine mikubwa ni pamoja na
 
Miji mingine mikubwa ni pamoja na:
 
* [[Novosibirsk]]
Line 87 ⟶ 99:
* [[Kazan]]
* [[Ufa]]
* [[Chelyabinsk]]
* [[Rostov]]
* [[Perm]]
Line 93 ⟶ 105:
 
=== Hali ya hewa ===
Sehemu kubwa za Urusi huwa na vipindi vya [[majira]] tofauti sana; [[joto]] kubwa inafuatana na [[baridi]] kali.
 
Kaskazini yamwa Siberia inakuna [[ardhi]] iliyoganda milele maana yake baridi imeingia katika ardhi kabisa. Wakati wa joto sentimita za juu zinapoa na [[mimea]] kama manyasi[[nyasi]] na mauama[[ua]] inastawi lakini hakuna miti mikubwa kwa sababu nusu mita chini ya ardhi [[halijoto]] inakaaiko daima chini ya =[[C°]].
 
== Historia ==
[[Historia]] ya Urusi kama nchi ya pekee ilianza polepole pale ambako makabilama[[kabila]] ya wasemaji wa [[Kislavoni cha Mashariki]] walipoanza kujenga maeneo yao kuanzia [[karne ya 8]] [[BK]].

[[Waskandinavia]] waliunda [[dola]] la kwanza katika eneo la [[Kiev]], wakaitawalawakalitawala kama dola la Kislavoni. Wenyewe waliingia haraka katika [[lugha]] na [[utamaduni]] wa wenyeji, lakini waliacha jina lao kwa sababu "Rus" kiasili ilikuwa jina kwa ajili yala Waskandinavia wale kutoka [[Uswidi]] ya leo.

Mwaka [[988]] Kiev ilipokea [[Ukristo]] wa [[Kiorthodoksi]] kutoka [[Bizanti]].

Dola la Kiev iliporomokaliliporomoka kutokana na mashambulio ya [[Wamongolia]] baada ya [[Jingis Khan]], na maeneo madogo zaidi yalijitokeza yaliyopaswa kukubali uwanaubwana wa Wamongolia.
 
=== Upanuzi wa utemi wa Moscow ===
Kubwa kati ya maeneo yale madogo ilikuwaulikuwa [[utemi wa Moscow]]. Watemi wa Moscow walichukua nafasi ya kwanza kuunganisha [[Wasalvoni wa Mashariki]] dhidi ya Wamongolia na kupanushakupanua utawala wao. Baada ya anguko la [[Konstantinopoli]] 1453 watawala wa Moscow walipokea cheo cha [[Kaisari]] wa Roma kilichoitwa "[[tsar]]" na kuwa cheo cha watawala wa Urusi hadi 1917.
 
Baada ya anguko la [[Konstantinopoli]] mwaka [[1453]] watawala wa Moscow walipokea cheo cha [[Kaisari]] wa [[Roma]] kilichoitwa "[[tsar]]" na kuwa cheo cha watawala wa Urusi hadi [[1917]].
Hadi karne ya 18 eneo ya Moscow ilikuwa tayari kubwa likabadilika kuwa Milki ya Kirusi iliyoendelea kupanua katika Siberia na Asia ya Kati. Sasa ilikuwa kati ya milki kubwa kabisa za historia ikienea kutoka [[Poland]] upande wa magharibi hadi bahari ya [[Pasifiki]] upande wa mashariki.
 
Hadi [[karne ya 18]] eneo yala Moscow ilikuwalilikuwa tayari kubwa likabadilika kuwa [[Milki ya Kirusi]] iliyoendelea kupanua katika [[Siberia]] na [[Asia ya Kati]]. Sasa ilikuwa kati ya milki kubwa kabisa za historia ikienea kutoka [[Poland]] upande wa magharibi hadi [[bahari]] ya [[Pasifiki]] upande wa mashariki.
=== Matengenezo ya kisiasa chini ya Peter I ===
Tsar [[Peter I wa Urusi|Peter I]] (1689 - 1725) alitambua ya kwamba nchi yake ilikuwa nyuma kiteknolojia na kielimu kulingana na mataifa ya Ulaya. Alianzisha mabadiliko mengi ya kuiga mfano wa Ulaya ya Magharibi akahamisha mji mkuu kutoka Moscow kwenda mji mpya aliyounda sehemu ya magharibi ya milki yake akaiita [[Sankt Peterburg]].
 
=== Matengenezo ya kisiasa chini ya PeterPetro I ===
Tangu Peter I nchi ilishiriki katika siasa ya Ulaya pamoja na vita vingi za Kiulaya. Mwanzo wa [[karne ya 19]] milki ikashambuliwa na [[Napoleon]] aliyeteka Moscow lakini Warusi walifaulu kuwafukuza maadui.
Tsar [[Peter I wa Urusi|PeterPetro I]] ([[1689]] - [[1725]]) alitambua ya kwamba nchi yake ilikuwa nyuma kiteknolojiaupande wa [[teknolojia]] na kielimu[[elimu]] kulingana na mataifama[[taifa]] ya Ulaya. Alianzisha mabadiliko mengi ya kuiga mfano wa [[Ulaya ya Magharibi]] akahamisha mji mkuu kutoka Moscow kwenda mji mpya aliyoundaaliounda sehemu ya magharibi ya milki yake akaiitaakauita [[Sankt Peterburg]].
 
Tangu wakati wa Petro I nchi ilishiriki katika [[siasa]] ya Ulaya pamoja na [[vita]] vingi vya huko.
 
Tangu Peter I nchi ilishiriki katika siasa ya Ulaya pamoja na vita vingi za Kiulaya. Mwanzo wa [[karne ya 19]] milki ikashambuliwa na [[Napoleon Bonaparte]] aliyeteka Moscow lakini Warusi walifaulu kuwafukuza maadui kwa msaada wa baridi iliyoua [[askari]] wengi wa [[Ufaransa]].
 
=== Upanuzi katika Asia ===
Matsar wa Urusi waliendelea kutawala kwa kuwa na [[mamlaka]] zote bila kushirikisha wananchi jinsi ilivyokuwa kawaida katika sehemu nyingine za Ulaya. Miji iliona [[maendeleo]] ya viwanda na jamii ya kisasa, lakini sehemu kubwa ya [[wakulima]] waliendelea kukaa chini ya [[utawala]] wa makabailama[[kabaila]].

Katika sehemu ya pili ya karne ya 19 Urusi ulipanukaulipanua utawala wake juu ya maneo makubwa ya Asia ya Kati na milima [[Kaukasus]] ikashindanaukashindana na [[Milki ya Osmani]], [[Uajemi]] na athira ya [[Uingereza]] katika Asia.
 
=== Mapinduzi za 1905 na 1917 ===
Mwanzoni wamwa [[karne ya 20]] Urusi ikaonekanaukaonekana tena kuwa nyuma ya nchi za magharibi na sababu kuu ilikuwa nafasi kubwa ya [[serikali]] luu iliyojitahiiiliyojitahidi kusimamia mabadiliko yote katika [[jamii]] na kuzuia mabadiliko iliyoonekana kamayaliyoonekana magumu machoni pa Tsar, pa makabaila na kanisapa ma[[askofu]] wa [[Kanisa la orthodoksiKiorthodoksi]].
 
Mwaka [[1904]] upanuzi wa Urusi katika Asia uligongana na upanuzi wa Japan. Katika [[Vita ya Japani na Urusi ya 1905|vita dhidi ya Japani]] Urusi ilishindwaulishindwa na tukio hili lilisabaishalilisababisha [[mapinduzi ya Urusi ya 1905]]. Tsar [[Nikolas II wa Urusi|Nikolas]] alipaswa kukubali [[uchaguzi]] wa [[bunge]] la [[duma]] kwa mara ya kwanza. Hata hivyo [[haki]] za duma zilikuwa chache na mabadiliko yalitokea polepole mno.
 
Urusi ilijiungaulijiunga mwaka [[1914]] na [[vita kuu ya kwanza ya dunia]] ikisimamaukisimama upande wa [[Uingereza]] na [[Ufaransa]] dhidi ya [[Ujerumani]] na [[Austria-Hungaria]]. Vita haikuendahavikuenda vizuri, wananchi wakaona [[njaa]] na [[Mapinduzi ya Urusi ya 1917#Mapinduzi ya Februari 1917|mapinduzi ya Februari 1917]] ikamfukuzayakamfukuza Tsar aliyejiuzulu.

Vita ikaendeleavikaendelea na [[Wajerumani]] walizidi kusogea mbele. Serikali mpya ya bunge ikapinduliwa katika mwezi wa Oktoba [[1917]] na mapinduzi ya [[Bolsheviki]] chini ya [[kiongozi]] wao [[Vladimir Ilyich Lenin]].
 
=== Utawala wa kikomunisti na Umoja wa Kisovyeti ===
HiiHuo ilikuwaulikuwa mwanzo wa [[vita ya wenyewe kwa wenyewe]]. [[Wakomunisti]] chini ya Lenin walishinda na kugeuza Urusi kuwa [[Umoja wa Kisoveti]] tangu mwaka [[1922]], wakiitawalawakitawala kwa [[mfumo wa kiimla]] wa [[chama]] chao. Ili kurahisisha [[utawala]] wao Wakomunisti waliamua kutawala Urusi yawa awali kwa muundo wa [[shirikisho]], wakaunda jamhuri mbalimbali kufuatana na mataifama[[taifa]] ndani ya eneo hilihilo kubwa. Urusi ilikuwa sasa jina la jamhuri kubwa katika umoja huu ikaitwa [[Shirikisho la Jamhuri ya Kisovyiet ya Kijamii ya Kirusi]].
 
Urusi lilikuwa sasa jina la jamhuri kubwa katika [[umoja]] huu nao ukaitwa [[Shirikisho la Jamhuri ya Kisovyiet ya Kijamii ya Kirusi]].
Kikatiba jamhuri hizi zote zilikuwa nchi huria lakini hali halisi zilitawaliwa zote kutoka makao makuu ya chama cha kikomunisti huko Moscow. Katiba hii ilipata umuhimu tangu 1989 wakati wa mwisho wa utawala wa Wakomunisti ambako jamhuri zote zilitafuta uhuru wao zikaachana na Umoja. Mji mku Sant Peterburg ukabadilishwa jina kuwa [[Leningrad]] na baadaye makao makuu ya nchi yakahamishwa tena kwenda Moscow.
 
KikatibaKi[[katiba]] jamhuri hizihizo zote zilikuwa [[nchi huriahuru]] lakini hali halisi zilitawaliwa zote kutoka makao makuu ya chama cha kikomunisti huko Moscow. Katiba hiihiyo ilipata umuhimu tangu [[1989]], wakati wa mwisho wa utawala wa Wakomunisti ambako jamhuri zote zilitafuta [[uhuru]] wao zikaachana na Umoja. Mji mku Sant Peterburg ukabadilishwa jina kuwa [[Leningrad]] na baadaye makao makuu ya nchi yakahamishwa tena kwenda Moscow.
Kiongozi aliyemfuata Lenin 1924 alikuwa [[Josef Stalin]] aliyeweza kugeuza utawala wa chama kuwa utawala wake mwenyewe akiongoza kwa jina la Katibu Mkuu wa chama cha kikomunisti.
 
Mji mkuu Sant Peterburg ulibadilishwa jina kuwa [[Leningrad]] na baadaye makao makuu ya nchi yakahamishwa tena kwenda Moscow.
1939 mwanzoni wa [[vita kuu ya pili ya dunia]] Stalin alipatana na Ujerumani wa Adolf Hitler kugawa maeneo ya Poland na [[nchi za Baltiki]] kati yao lakini 1941 Hitler alishambulia pia Umoja wa Kisovyeti. Warusi walipotea askari mamilioni lakini waliweza kuwazuia Wajerumani wasiteke Moscow na Leningrad. Kwa msaada wa [[Marekani]] Warusi waliweza kurudisha jeshi la Ujerumani na kusogea magharibi. Umoja wa Kisovyeti ikawa kati ya nchi washindi wa vita kuu ya pili.
 
Kiongozi aliyemfuata Lenin mwaka [[1924]] alikuwa [[Josef Stalin]] aliyeweza kugeuza utawala wa chama kuwa utawala wake mwenyewe akiongoza kwa jina la [[Katibu Mkuu]] wa chama cha kikomunisti.
 
Mwaka [[1939]], mwanzoni mwa [[vita kuu ya pili ya dunia]] Stalin alipatana na [[Ujerumani]] wa [[Adolf Hitler]] kugawa maeneo ya Poland na [[nchi za Baltiki]] kati yao lakini mwaka [[1941]] Hitler alishambulia pia Umoja wa Kisovyeti.
 
1939Warusi mwanzoni wawalipoteza [[vita kuu ya pili ya duniaaskari]] Stalin alipatana na Ujerumani wa Adolf Hitler kugawa maeneo ya Poland na [[nchi za Baltiki]] katimilioni yao lakini 1941 Hitler alishambulia pia Umoja wa Kisovyeti. Warusi walipotea askari mamilionikadhaa, lakini waliweza kuwazuia Wajerumani wasiteke Moscow na Leningrad. Kwa msaada wa [[Marekani]] Warusi waliweza kurudisha [[jeshi]] la Ujerumani na kusogea magharibi. Umoja wa Kisovyeti ikawaukawa kati ya nchi washindi wa [[vita kuu ya pili ya dunia]].
 
=== Mashindano ya vita baridi dhidi ya Marekani ===
Tangu mwaka [[1945]] jeshi la Urusi lilikaa katika nchi zote za [[Ulaya ya Mashariki]] hadi katikati ya Ulaya. Katika nchi hozihizo zote serikali za kikomunisti zilianzishwa na kusimamiwa na [[ofisi kuu]] ya chama cha kikomunisti huko Moscow. Urusi ulikuwa kiongozi wa nchi za kijamii ilishindana katika [[vita baridi]] dhidi ya nchi za magharibi zilizoongozwa na Marekani. Athira ya Umoja wa Kisovyeti ilipanua hadi Afrika, Asia na [[Amerika ya Kati]] ambako nchi mbalimbali zilianza kuiga mtindo wa kikomunisti.
 
Urusi ulikuwa kiongozi wa nchi za kijamaa, ukishindana katika [[vita baridi]] dhidi ya [[nchi za magharibi]] zilizoongozwa na Marekani. Athira ya Umoja wa Kisovyeti ilipanuka hadi [[Afrika]], [[Asia]] na [[Amerika ya Kati]] ambako nchi mbalimbali zilianza kuiga mtindo wa kikomunisti.
=== Kuachana kwa Umoja kwa Kisovyeti ===
Utawala wa kikomunisti uliendelea hadi mnamo mwaka 1990. Mwishoni matatizo ya kiuchumi yalizidi kwa sababu mfumo wa uchumi ulioongozwa moja kwa moja na serikali kuu pamoja na utaratibu wa kiimla uliozuia wananchi kupinga siasa ya viongozi na kuleta hoja tofauti ulisababisha tena nchi kubaki nyuma.
 
=== KuachanaKusambaratika kwa Umoja kwa Kisovyeti ===
Tangu 1990 jamhuri kadhaa za Umoja wa Kisovyeti ziliondoka katika umoja na kutangaza uhuru wao ilhali serikali ilishindwa nguvu ya kuwazuia. Mwaka 1991 jamhuri wanachama za mwisho Urusi, Belarus na Ukraine ziliamua kumaliza Umoja wa Kisovyeti.
Utawala wa kikomunisti uliendelea hadi mnamo mwaka [[1990]]. Mwishoni matatizoma[[tatizo]] ya kiuchumi[[uchumi]] yalizidi kwa sababu mfumo wa uchumi ulioongozwa moja kwa moja na serikali kuu, pamoja na utaratibu wa kiimla uliozuia wananchi kupinga siasa ya viongozi na kuleta [[hoja]] tofauti, ulisababisha tena nchi kubaki nyuma.
 
Tangu mwaka 1990 jamhuri kadhaa za Umoja wa Kisovyeti ziliondoka katika umoja na kutangaza uhuru wao ilhali serikali ilishindwa nguvu ya kuwazuia. Mwaka [[1991]] jamhuri wanachama za mwisho Urusi, Belarus na Ukraine ziliamua kumaliza Umoja wa Kisovyeti.
 
=== Urusi mpya ===
Tangu mwaka 1991 Urusi iliyopungukiwaulipungukiwa na maeneo mengi yaliyotwaliwa wakati wakatika karne ya 19 na ya 18, ilibakiukabaki peke yake ingawa bdaobado ni dola kubwa kuliko yote duniani. Marais

Ma[[rais]] wa Urusi baada ya 1991 walikuwa [[Boris Yeltsin]] na [[Vladimir Putin]].
 
[[Dmitry Medvedev]] alichaguliwa kuwa rais wa Urusi mwaka 2008 na mtangulizi wake [[Vladimir Putin]] akawa [[waziri mkuu]].
 
Baada ya ukomunisti kuanguka, [[dini]] ulizozipiga vita kwa njia zote kwa miaka mingi zimepata uhai mpya. Siku hizi 3/4 za wakazi ni [[Wakristo]], hasa [[Waorthodoksi]], na 6.5% ni [[Waislamu]].
[[Dmitry Medvedev]] alichaguliwa kuwa rais wa Urusi mwaka 2008 na mtangulizi wake [[Vladimir Putin]] akawa waziri mkuu.
 
== TovutiViungo vya nje ==
{{Commons category|Russia}}
* [http://www.novokat.ru EconomicUchumi data ofwa Russia]
 
{{Ulaya}}
Line 152 ⟶ 190:
[[Jamii:Nchi za Ulaya]]
[[Jamii:Nchi za G8]]
[[Jamii:Nchi za G20]]
 
{{Link FA|af}}