Charles Darwin : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 147 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q1035 (translate me)
d Masahihisho mawili ya tahajia tu.
Mstari 12:
Alizaliwa mjini [[Shrewsbury]] (Uingereza) kama mtoto wa tano wa daktari Robert Darwin na Susannah Darwin (née Wedgwood).
 
Baada ya kumaliza [[shule]] alijiunga na [[chuo kikuu]]] cha [[Edinburgh]] ([[Uskoti]]) [[1825]] akajiandikisha katika idara ya [[tiba]] lakini hakupenda [[upasuaji]]. Alitumia muda mwngimwingi kufuata kozi za [[biolojia]], [[jiografia]] na [[jiolojia]] nje ya masomo ya tiba. Alifuatana mara nyingi na wataalamu walipofanya uchunguzi wa wanyama, mimea au mawe.
 
Baba baada ya kuona hafai kuwa daktari alimwandikisha katika masomo ya [[teolojia]] kwa shabaha ya kuwa [[mchungaji]] wa [[kanisa]] la [[Anglikana]] aliyomaliza mwaka [[1831]].
Mstari 20:
Baada ya kumaliza masomo haya Darwin alipata nafasi ya kujiunga kama mshiriki na safari ya kisayansi ya jahazi [[MS Beagle]] iliyotakiwa kuzunguka dunia yote kwa kusudi la kuboresha ramani hasa za pwani la [[Amerika Kusini]]. Darwin alipewa nafasi ya mwanaviumbe bila malipo ya kuongozana na kushauriana na [[nahodha]] na kiongozi wa safari kuhusu wanyama na mimea visivyojulikana na vitakavyopatikana safarini.
 
Katika safari hii Darwin aliona [[Amerika Kusini]] na visiwa vya [[Pasifiki]]. Akaona mengi na kushika kumbukumbu yake akakusanya mimea na miili ya wanyama na kuibeba naye kwa ajili ya maonyesho katika jumba la makumbushamakumbusho la historia ya viumbe.
 
Kwenye visiwa vya [[Galapagos]] aliona ya kwamba kila kisiwa kilikuwa na [[spishi]] za ndege pia kobe zilivyotofautiana kidogo kati ya kisiwa na kisiwa.