Umoja wa Ulaya : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 179 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q458 (translate me)
No edit summary
Mstari 9:
|}
 
'''Umoja wa Ulaya''' (Kifupi: '''[[EU]]''') ni maungano ya kisiasa na ya kiuchumi ya nchi 2728 za [[Ulaya]]. Ulianzishwa mwaka 1991[[199]]1 juu kwenyeya msingi wa [[Jumuiya ya Kiuchumi ya Ulaya]].
Shabaha kuu zilikuwa kujenga uchumi wa pamoja, kuboresha maisha ya watu wa Ulaya na kuzuia vita kati ya nchi za Ulaya.
 
Shabaha kuu zilikuwa kujenga [[uchumi]] wa pamoja, kuboresha maisha ya watu wa Ulaya na kuzuia [[vita]] kati ya nchi za Ulaya.
Nchi 12 za Umoja hutumia pesa ileile ya ''[[Euro]]'', kuanzia [[1 Januari]] [[2007]] [[Slovenia]] imekuwa nchi ya 13. Nchi nyingi za Umoja zilipatana kufungua mipaka yao bila vizuizi kwa wakazi wote.
 
Nchi 18 za Umoja huo hutumia [[pesa]] ileile ya ''[[Euro]]''.
 
Nchi 12 za Umoja hutumia pesa ileile ya ''[[Euro]]'', kuanzia [[1 Januari]] [[2007]] [[Slovenia]] imekuwa nchi ya 13. Nchi nyingi za Umoja zilipatana kufungua mipaka yao bila vizuizi kwa wakazi wote.
 
== Historia ==
[[Jumuiya ya Kiuchumi ya Ulaya]] ilibadilisha jina lake mwaka [[1992]] kufuatana na [[mikataba ya Maastricht]] kuwa Umoja wa Ulaya.
Nchi wanachama zilipatana kujenga siasa ya pamoja ya kiuchumi, kifedha, kisheria na katika mambo ya nje.
 
Nchi wanachama zilipatana kujenga [[siasa]] ya pamoja ya kiuchumi, kifedha, kisheria na katika mambo ya nje.
Mapatano ya Schengen ilifungua mipaka ili wakazi wa nchi hizi wanasafiri bila pasipoti wala vibali.
 
[[Mapatano ya Schengen]] ilifungua mipaka ili wakazi wa nchi hizihizo wanasafiriwaweze kusafiri bila [[pasipoti]] wala vibali.
Nchi 10 zilijiunga tena na EU mwaka [[2004]]. Mbili zaidi imeingia [[2007]].
 
Nchi 10 zilijiunga tena zilijiunga na EU mwaka [[2004]]. Mbili zaidi imeingia [[2007]] na [[Kroatia]] mwaka [[2103]].
 
<gallery>
Line 26 ⟶ 30:
Image:Eurotower in Frankfurt.jpg|Euro Tower ([[Frankfurt]])
</gallery>
 
==Wakazi==
Jumla ya wakazi ni [[milioni]] 507.4.
 
Upande wa [[lugha]], [[lugha rasmi]] ni 24, lakini lugha inayotumika zaidi ni [[Kiingereza]], kinachozungumzwa na 51% za wakazi wote.
 
Upande wa [[dini]], wakazi wengi ni [[Wakristo]] (72%), hasa [[Wakatoliki]] (48%), [[Waprotestanti]] 12% na [[Waorthodoksi]] 8%. [[Waislamu]] ni 2%. Wengine hawana dini au ni [[Wakanamungu]].
 
== Uhuru wa kuhama ==
Kila mtu mwenye [[uraia]] wa nchi ya Umoja anaruhusiwa kuhamia nchi yoyote nyingine na kufanya [[kazi]] au [[biashara]] huko bila vibali vya pekee.
 
Vilevile bihdaa[[bidhaa]] zote zinazotengenezwa kote katika EU zinaweza kuuzwa katika kila nchi. Hii ni sababu ya kuwa na sheria za pamoja zinazotawala masharti ya bidhaa.
 
== Vyombo vya Umoja ==
Line 45 ⟶ 56:
 
=== Bunge la Ulaya ===
Bunge la Ulaya lina wabunge 732736 wanaochaguliwa na wananchi kila baada ya nchi tano.
 
== Nchi wanachama za EU ==
Line 58 ⟶ 69:
Hungaria (Magyarország - '''HU''')
Italia (Italia - '''IT''')
Kroatia (Hrvatska - '''HR''')
Latvia (Latvija - '''LV''')
Lithuania (Lietuva - '''LT''')
Line 78 ⟶ 90:
<br />
'''Wanaoomba kupokelewa''':
Kroatia (Hrvatska - HR)
Masedonia (** - **)
Uturuki (Türkiye - TR)]]
Line 123 ⟶ 134:
* [[Romania]]
 
==== NchiWanachama zinazoombatangu uanachama[[2013]] ====
* [[Kroatia]]
 
==== Nchi zinazoomba uanachama ====
* [[Masedonia]]
* [[Serbia]]
* [[Uturuki]]