Umoja wa Ulaya : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 9:
|}
 
'''Umoja wa Ulaya''' (Kifupi: '''[[EU]]''') ni maungano ya kisiasa na ya kiuchumi ya nchi 28 za [[Ulaya]].

Ulianzishwa mwaka [[1991991]]1 juu ya msingi wa [[Jumuiya ya Kiuchumi ya Ulaya]].
 
Shabaha kuu zilikuwa kujenga [[uchumi]] wa pamoja, kuboresha maisha ya watu wa Ulaya na kuzuia [[vita]] kati ya nchi za Ulaya.
Line 15 ⟶ 17:
Nchi 18 za Umoja huo hutumia [[pesa]] ileile ya ''[[Euro]]''.
 
Nchi nyingi za Umoja zilipatanazimepatana kufungua mipaka yao bila vizuizi kwa wakazi wote.
 
== Historia ==
Line 32 ⟶ 34:
 
==Wakazi==
Jumla ya wakazi ni [[milioni]] 507.4 ([[2013]]). Kuna miji 16 yenye watu zaidi ya milioni moja kila mmojawapo, kuanzia [[London]] na [[Paris]] ambayo inazidi milioni 10.
 
Upande wa [[lugha]], [[lugha rasmi]] ni 24, lakini lugha inayotumika zaidi ni [[Kiingereza]], kinachozungumzwakinachoweza kuzungumzwa na 51% za wakazi wote, ingawa ni lugha ya kwanza ya 13% tu. Lugha nyingine ambazo ni za kwanza kwa wananchi wengi ni: [[Kijerumani]] (16%), [[Kiitalia]] (13%) na [[Kifaransa]] (12%). Pia kuna lugha 150 hivi za kieneo.
 
Upande wa [[dini]], wakazi wengi ni [[Wakristo]] (72%), hasa [[Wakatoliki]] (48%), [[Waprotestanti]] 12% na [[Waorthodoksi]] 8%. [[Waislamu]] ni 2%. Wengine hawana dini au ni [[Wakanamungu]].