Euro : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
kiungo sarafu (mfumo)
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Euro symbol.svg|thumb|200px|Ishara ya Euro]]
'''Euro''' ni [[sarafu (mfumo)|sarafu]] ya pamoja katika baadhi ya nchi za [[Ulaya]]. Tangu [[2002]] nchi 13 za [[EU]] zilifuta sarafu ya kitaifa na kutumia Euro.
 
Tangu mwaka [[2002]] nchi 13 za [[EU]] zilifuta sarafu ya kitaifa na kutumia Euro. Siku hizi ni 18.

Euro moja ina [[senti]] 100.

Kuna [[benknoti]] za € 5 (kijivu), € 10 (nyekundu), € 20 (buluu], € 50 (machungwa), € 100 (kijani), € 200 (njano), € 500 (nyekundu).
 
Kuna [[sarafu]] metalia 8 za € 0,01, € 0,02, € 0,05, € 0,10, € 0,20, € 0,50, € 1, € 2.
 
Pesa ya karatasi inatolewa na benki kuu ya Ulaya na ni sawa kote.

Sarafu zinatolewa na nchi wanachama zinatofautiana upande mojammoja. Sarafu zote hutumika kote.
 
== Ishara ya Euro ==
Ishara ya Euro ni [[herufi ya Kigiriki]] [[epsilon]] (E) nyenyeyenye mistari miwili ya kulala: '''€'''.
 
== Nchi wanachama wa Euro ==
[[Picha:European union emu map de.png|thumb|300px|left|Euro 2014]]