Tofauti kati ya marekesbisho "Posta ya Kijerumani Lamu"

no edit summary
 
'''Posta ya Kijerumani''' katika mji wa [[Lamu]], [[Kenya]] ni jengo la kihistoria na makumbusho ya kipindi cha ukoloni wa Kijerumani kwenye pwani la Kenya.
 
Jengo hili likasimikwa kama posta ya Dola la Ujerumani tarehe 22 Novemba 1888. Lamu haikuwa eneo la Kijerumani lakini ilikuwa bandari ya pekee iliyotembelewa na meli za Kizungu katika sehemu hii ya pwani. Zaidia ya hayo Lamu ilikuwa jirani na eneo la [[Usultani ya Witu]] ambayo iliwahi kuingia katika [[nchi lindwa|uhusiano wa ulinzi]] na Ujerumani tangu 1885.
 
Mradi wa kikoloni wa Kijerumani katika Witu ilianzishwa na [[Clement Denhardt]] ni yeye aliyeanzisha pia posta Kam kisiwani.