Wafransisko : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2:
'''Wafransisko''' ni jina la jumla la wafuasi wote wa [[Fransisko wa Asizi]] wanaokadiriwa kuwa milioni moja hivi duniani kote.
 
==Historia==
[[Mwanzilishi]] mwenyewe katika [[karne XIII]] alivuta umati wa waamini wa [[Ukristo]] katika njia ya [[toba]].
 
Line 10 ⟶ 11:
Mapema zilitokea tofauti za mitazamo kuhusu [[karama]] halisi ya Mt. Fransisko, hivyo matawi yalianza kugawanyika.
 
==Hali ya sasa==
Siku hizi kuna mashirika ya kitawa mia nne hivi yanayofuata mojawapo ya [[kanuni]] zilizokubaliwa na ma[[papa]] kwa matawi hayo.