Nyuki : Tofauti kati ya masahihisho

1 byte added ,  miaka 8 iliyopita
(Ondoleo la lugha nyingine)
 
Kuna aina tatu za nyuki ndani ya kundi hili nao ni:
* malkiaMalkia wa nyuki ni mama wa nyuki wote ndani ya kundi na kazi yake ni kutaga mayai pekee
* nyukiNyuki wafanyakazi ni wakazi wengi wa mzinga na wote ni wa kike. Ni hao wanaofanya kazi yote kama vile kukusanya mbelewele na mbochi, kusafisha mzinga, kutengeneza nta, kujenga sega, kuwalisha malkia na majana, kulinda mzinga
* nyukiNyuki dume ni wachache na kazi yao ya pekee ni kumpanda malkia ambaye si yule wa mzinga wake kwa kawaida; baadaye wanafukuzwa kwenye mzinga na hawapewi chakula tena.
 
{{commonscat|Bee|Nyuki}}
Anonymous user