Mfumo wa mmeng'enyo wa chakula : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
→‎Mate: kiungo
Mstari 20:
=== Mate ===
 
[[Mate]] ni mchanganyiko wa [[maji]], uteute na [[kimeng’enya]] kinachofahamika kama ''salivary amylase'' au [[ptyalin]]. Kazi za mate katika umeng’enyaji ni kama ifuatavyo:
* Maji yaliyo katika mate hutumika katika kuyeyusha chakula.
* Uteute wake hulainisha chakula hivyo chakula huwa rahisi kumezwa.