Tanuri la nyuklia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Tanuri la nyuklia''' ni mtambo ambamo mchakato mfululizo wa nyuklia unatokea. Mwatuko wa nyuklia huzalisha joto ambalo latumiwa kutengeneza umeme. File...'
 
No edit summary
Mstari 3:
[[File:Three Mile Island (color)-2.jpg|thumb|left|Tanuri la nyuklia kwenye kituo cha nguvu cha Three Mile Island , Marekani]]
 
Kuna aina mbalimbali lakini kwa kawaida [[fueli]] ni ama [[uranim|uranim-235]] au [[plutoni|plutoni-239]]. Nondo za elemementi hizi nururifu zinaingizwa katika kiini cha tanuri na hapo nyutroni zinazotoka katika atomi za urani au plutoni zinagonga atomi nyingine na kuzipasua. Kila upasuaji wa atomi inaachisha [[nishati nyuklia]] inayotokea hasa kwa njia ya joto. Idadi ya nondo za fueli katika kiini cha tanuri inaweza kuongezwa -hivyo kuongeza kiasi cha nyutroni zinazogonga na kupasua atomi nyingine- au kupungukiwa. Kuingiza na kuondoa nondo za fueli ni njia ya kusimamia tanuri na joto lake.
 
Joto kutokana mwatuko wa nyuklia inapasha moto kwa maji yanayopitishwa kwenye tanuri na kuwa [[mvuke]]. Mwendo wa mvuke huu unasukuma [[rafadha]] inayozalisha umeme.
 
Matanuri ya nyuklia kadhaa hazina sababukazi ya kuzalisha umeme hasa ni matanuri ya utafiti ya kisayansi au zaya kutengeneza [[isotopi]] nururifu kwa matumizi ya kimatibabu, au kwa kusudi la kuwafundisha wanafunzi kwenye vyuo vikuu.
 
Tanuri la nyuklia la kwanza liliundwa mwaka 1942 huko Chicago na wanasayansi walioongozwa na [[Enrico Fermi]].<ref name=scw>{{cite web |url= http://www.credoreference.com/entry/abccscience/nuclear_physics |title=Nuclear Physics (2005) |first= |last= |work=Science in the Contemporary World: An Encyclopedia |year=2011 [last update] |accessdate=May 29, 2011}}</ref>
Mstari 14:
Tanuri ya kwanza ya kuzalisha umeme ilijengwa [[Idaho]], Marekani mwaka 1951. Iliweza kung'arisha balbu 1 tu.<ref>http://www.inl.gov/factsheets/ebr-1.pdf Experimental Breeder Reactor 1</ref>. Mnamo mwaka 2011 kulikuwa na matanuri nyuklia 437 zilizozalisha [[nishati nyuklia]] iliyokuwa takriban asilimia 5 za umeme duniani.
Matanuri ya nyuklia ni mitambo ghali sana kwa sababu [[unururifu]] wa Urani na Plutoni ni kali zinahitaji kufikia kiwango cha juu cha usalama.<ref name=scw/> Tatizo lingine ni kiasi kikbwakikubwa cha [[takataka ya nyuklia]] inayohitaji kutunzwa salama kwa miaka mamia elfu. <ref name=scw/> Faida ya tanuri la nyuklia ni haichafushihalichafushi hewa kama kituo cha nguvu ya makaa au mafuta.
 
==Marejeo==