Tanuri la nyuklia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Tanuri la nyuklia''' ni mtambo ambamo mchakato mfululizo wa nyuklia unatokea. [[Mwatuko wa nyuklia]] huzalisha joto ambalo latumiwa kutengeneza umeme.
[[File:Scwr.svg|thumb|left|Muundo wa tanuri nyuklia inayopozwa kwa maji]]
[[File:Three Mile Island (color)-2.jpg|thumb|left|Tanuri la nyuklia kwenye kituo cha nguvu cha Three Mile Island , Marekani]]
 
Kuna aina mbalimbali lakini kwa kawaida [[fueli]] ni ama [[uranim|uranim-235]] au [[plutoni|plutoni-239]]. Nondo za elemementi hizi nururifu zinaingizwa katika kiini cha tanuri na hapo nyutroni zinazotoka katika atomi za urani au plutoni zinagonga atomi nyingine na kuzipasua. Kila upasuaji wa atomi inaachisha [[nishati nyuklia]] inayotokea hasa kwa njia ya joto. Idadi ya nondo za fueli katika kiini cha tanuri inaweza kuongezwa -hivyo kuongeza kiasi cha nyutroni zinazogonga na kupasua atomi nyingine- au kupungukiwa. Kuingiza na kuondoa nondo za fueli ni njia ya kusimamia tanuri na joto lake.
Mstari 19:
{{reflist}}
 
{{commons category|Schemata of nuclear reactors|Schemes of nuclear reactors}}
==Viungo vya Nje==
*[http://www.google.com/images?client=flock&channel=fds&q=nuclear+reactor&oe=utf-8&um=1&ie=UTF-8&source=univ&sa=X&ei=6u9_Tf-DLYOssAOAxOGNBg&ved=0CFIQsAQ&biw=984&bih=527 Images for nuclear reactors]