Tanuri la nyuklia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 3:
[[File:Three Mile Island (color)-2.jpg|thumb|Tanuri la nyuklia kwenye kituo cha nguvu cha Three Mile Island , Marekani]]
 
Kuna aina mbalimbali lakini kwa kawaida [[fueli]] ni ama [[uranimurani|uranim-235]] au [[plutoni|plutoni-239]]. Nondo za elemementi hizi nururifu zinaingizwa katika kiini cha tanuri na hapo nyutroni zinazotoka katika atomi za urani au plutoni zinagonga atomi nyingine na kuzipasua. Kila upasuaji wa atomi inaachisha [[nishati nyuklia]] inayotokea hasa kwa njia ya joto. Idadi ya nondo za fueli katika kiini cha tanuri inaweza kuongezwa -hivyo kuongeza kiasi cha nyutroni zinazogonga na kupasua atomi nyingine- au kupungukiwa. Kuingiza na kuondoa nondo za fueli ni njia ya kusimamia tanuri na joto lake.
 
Joto kutokana mwatuko wa nyuklia inapasha moto kwa maji yanayopitishwa kwenye tanuri na kuwa [[mvuke]]. Mwendo wa mvuke huu unasukuma [[rafadha]] inayozalisha umeme.