Tanuri la nyuklia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Tanuri la nyuklia''' ni [[mtambo]] ambamo [[mchakato]] mfululizo wa nyuklia unatokea. [[Mwatuko wa nyuklia]] huzalisha [[joto]] ambalo latumiwa kutengeneza [[umeme]].
[[File:Scwr.svg|thumb|Muundo wa tanuri nyuklia inayopozwa kwa [[maji]]]]
[[File:Three Mile Island (color)-2.jpg|thumb|Tanuri la nyuklia kwenye kituo cha nguvu cha Three Mile Island , [[Marekani]]]]
 
Kuna aina mbalimbali za matanuri lakini kwa kawaida [[fueli]] ni ama [[urani|urani-235]] au [[plutoni|plutoni-239]]. [[Nondo]] za [[elemementi hizi nururifu]] hizo zinaingizwa katika [[kiini]] cha [[tanuri]] na hapo [[nyutroni]] zinazotoka katika [[atomi]] za urani au plutoni zinagonga atomi nyingine na kuzipasua. Kila [[upasuaji]] wa atomi inaachishaunaachisha [[nishati nyuklia]] inayotokea hasa kwa njia ya joto. Idadi ya nondo za fueli katika kiini cha tanuri inaweza kuongezwa - hivyo kuongeza kiasi cha nyutroni zinazogonga na kupasua atomi nyingine - au kupungukiwa. Kuingiza na kuondoa nondo za fueli ni njia ya kusimamia tanuri na joto lake.
 
Joto kutokana na mwatuko wa nyuklia inapashalinapasha [[moto]] kwa [[maji]] yanayopitishwa kwenye tanuri na kuwa [[mvuke]]. Mwendo wa mvuke huuhuo unasukuma [[rafadha]] inayozalisha umeme.
 
Matanuri ya nyuklia kadhaa hazina kazi ya kuzalisha umeme, hasa ni matanuri ya [[utafiti]] yawa kisayansiki[[sayansi]] au ya kutengeneza [[isotopi]] nururifu kwa matumizi ya kimatibabuki[[matibabu]], au kwa kusudi la kuwafundisha [[wanafunzi]] kwenye [[vyuo vikuu]].
 
Tanuri la nyuklia la kwanza liliundwa mwaka [[1942]] huko [[Chicago]] na [[wanasayansi]] walioongozwa na [[Mwitalia]] [[Enrico Fermi]].<ref name=scw>{{cite web |url= http://www.credoreference.com/entry/abccscience/nuclear_physics |title=Nuclear Physics (2005) |first= |last= |work=Science in the Contemporary World: An Encyclopedia |year=2011 [last update] |accessdate=May 29, 2011}}</ref>
Hii ilikuwa sehemu ya mradi wa [[Manhattan Project]] iliyohitaji [[fueli nururifu]] kwa kutengeneza [[bomu nyuklia]] ya kwanza.
 
Tanuri yala kwanza yala kuzalisha umeme ilijengwalilijengwa [[Idaho]], Marekani mwaka [[1951]]. IliwezaLiliweza kung'arisha [[balbu]] 1 tu.<ref>http://www.inl.gov/factsheets/ebr-1.pdf Experimental Breeder Reactor 1</ref>.

Mnamo mwaka [[2011]] kulikuwa na matanuri nyuklia 437 zilizozalisha [[nishati nyuklia]] iliyokuwa takriban asilimia 5 za umeme duniani[[dunia]]ni.
Matanuri ya nyuklia ni mitambo ghali sana kwa sababu [[unururifu]] wa Urani na Plutoni ni kali, zinahitaji kufikia kiwango cha juu cha [[usalama]].<ref name=scw/> Tatizo lingine ni kiasi kikubwa cha [[takataka ya nyuklia]] inayohitaji kutunzwa salama kwa miaka mamia elfu. <ref name=scw/>

Faida ya tanuri la nyuklia ni halichafushikwamba halichafui [[hewa]] kama kituo cha nguvu ya [[makaa]] au [[mafuta]].
 
==Marejeo==
Line 23 ⟶ 27:
*[http://www.world-nuclear.org/info/inf32.html Nuclear Power Reactors]
*[http://www.google.com/search?client=flock&channel=fds&q=nuclear+reactor&ie=utf-8&oe=utf-8&aq=t#q=nuclear+reactor&hl=en&client=flock&hs=3QJ&channel=fds&prmd=ivnsub&source=univ&tbs=vid:1&tbo=u&sa=X&ei=6u9_Tf-DLYOssAOAxOGNBg&ved=0CJIBEKsE&bav=on.2,or.r_gc.r_pw.&fp=4a58a8a8875eab3a Recent videos for nuclear reactors]
 
 
 
[[Category:Nishati]]