Tanuri la nyuklia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
taipo
No edit summary
Mstari 1:
'''Tanuri la nyuklia''' ni [[mtambo]] ambamo [[mchakato]] mfululizo wa nyuklia unatokea. [[Mwatuko wa nyuklia]] huzalisha [[joto]] ambalo latumiwa kutengeneza [[umeme]].
[[File:Scwr.svg|thumb|Muundo wa tanuri nyuklia inayopozwa kwa [[maji]]]]
[[File:Three Mile Island (color)-2.jpg|thumb|Tanuri la nyuklia kwenye kituo cha nguvu cha Three Mile Island, [[Marekani]]]]
 
Kuna aina mbalimbali za matanuri lakini kwa kawaida [[fueli]] ni ama [[urani|urani-235]] au [[plutoni|plutoni-239]].
Kuna aina mbalimbali za matanuri lakini kwa kawaida [[fueli]] ni ama [[urani|urani-235]] au [[plutoni|plutoni-239]]. [[Nondo]] za [[elementi nururifu]] hizo zinaingizwa katika [[kiini]] cha [[tanuri]] na hapo [[nyutroni]] zinazotoka katika [[atomi]] za urani au plutoni zinagonga atomi nyingine na kuzipasua. Kila [[upasuaji]] wa atomi unaachisha [[nishati nyuklia]] inayotokea hasa kwa njia ya joto. Idadi ya nondo za fueli katika kiini cha tanuri inaweza kuongezwa - hivyo kuongeza kiasi cha nyutroni zinazogonga na kupasua atomi nyingine - au kupungukiwa. Kuingiza na kuondoa nondo za fueli ni njia ya kusimamia tanuri na joto lake.
 
==Kiini cha tanuri la nyuklia==
Kiini ni sehemu ya tanuri la nyuklia penye fueli yote na mwatujo wa nyuklia inatokea hapa. Kiini ni pia mahali pa kutokea kwa joto. Kiini hutengenezwa ndani ya chumba cha pekee ambacho kina kwanza ukuta wa feleji (mara nyingi tufe) unaozungukwa na ukuta nene wa saruji iliyoimarishwa.
Fueli imo kwa umbo la nondo za urani au plutoni. Nondo la fueli hufanywa kwa pipa la feleji linalojazwa vidonge vya urani. Hapo [[nyutroni]] zinatoka katika [[atomi]] za urani au plutoni zikigonga atomi nyingine na kuzipasua. Kila [[upasuaji]] wa atomi unaachisha [[nishati nyuklia]] inayotokea hasa kwa njia ya joto.
 
Kiasi cha nyutroni kinachopatikana kwa kazi hii hutawaliwa kwa kuingiza au kuondoa [[nondo dhibiti]]. Hizi nondo dhibiti hujaa vidonge vya [[bori]] au [[kadmi]] na kuzuia mwendo wa nyutroni. Kadri nondo dhibiti zinaingizwa zaidi kati ya nondo za fueli uenezaji wa nyutroni kutoka urani au plutoni unapungua ni vyivyo hivyo kadri nondi zibiti zinatolewa mwendo wa nyutroni unaongezeka hivyo kuongeza kiasi cha nyutroni zinazogonga na kupasua atomi nyingine - au kupungukiwa. Kuingiza na kuondoa nondo dhibiti ni njia ya kusimamia tanuri na joto lake.
 
==Uzalishaji umeme==
Joto kutokana na mwatuko wa nyuklia linapasha [[moto]] kwa [[maji]] yanayopitishwa kwenye tanuri na kuwa [[mvuke]]. Mwendo wa mvuke huo unasukuma [[rafadha]] inayozalisha umeme.
 
Matanuri ya nyuklia kadhaa hazina kazi ya kuzalisha umeme, hasa ni matanuri ya [[utafiti]] wa ki[[sayansi]] au ya kutengeneza [[isotopi]] nururifu kwa matumizi ya ki[[matibabu]], au kwa kusudi la kuwafundisha [[wanafunzi]] kwenye [[vyuo vikuu]].
 
==Historia==
Tanuri la nyuklia la kwanza liliundwa mwaka [[1942]] huko [[Chicago]] na [[wanasayansi]] walioongozwa na [[Mwitalia]] [[Enrico Fermi]].<ref name=scw>{{cite web |url= http://www.credoreference.com/entry/abccscience/nuclear_physics |title=Nuclear Physics (2005) |first= |last= |work=Science in the Contemporary World: An Encyclopedia |year=2011 [last update] |accessdate=May 29, 2011}}</ref>
Hii ilikuwa sehemu ya mradi wa [[Manhattan Project]] iliyohitaji [[fueli nururifu]] kwa kutengeneza [[bomu nyuklia]] ya kwanza.