Tanuri la nyuklia : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
sahihisho na nyongeza kidogo |
||
Mstari 1:
''Tanuri la nyuklia''' ni [[mtambo]] ambamo [[mchakato
[[File:Scwr.svg|thumb|Muundo wa tanuri nyuklia inayopozwa kwa [[maji]]]]
[[File:Three Mile Island (color)-2.jpg|thumb|Tanuri la nyuklia kwenye kituo cha nguvu cha Three Mile Island, [[Marekani]]]]
Mstari 6:
==Kiini cha tanuri la nyuklia==
Kiini ni sehemu ya tanuri la nyuklia penye fueli yote na
Fueli imo kwa umbo la nondo za urani au plutoni. Nondo la fueli hufanywa kwa pipa la feleji linalojazwa vidonge vya urani. Hapo [[nyutroni]] zinatoka katika [[atomi]] za urani au plutoni zikigonga atomi nyingine na kuzipasua. Kila [[upasuaji]] wa atomi unaachisha [[nishati nyuklia]] inayotokea hasa kwa njia ya joto.
|