Mtumiaji:Rberetta/mpya : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Kazi
Kazi
Mstari 22:
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
 
'''Saola''' ni mnyama adimu sana wa pori wa [[spishi]] ''Pseudoryx nghetinhensis'' katika [[Familia (biolojia)|familia]] Bovidae, aliye mmoja wa mamalia adimu zaidi kuliko wote duniani. Huyo ndiye mnyama pekee katika jenasi ''Pseudoryx''.
 
Saola huishi misitu ya [[Vietnam]] na [[Laos]]. Saola ana mnasaba na [[ng'ombe]], [[mbuzi]] na [[palahala]],<ref name=DoiscienceMissing/> na spishi hiyo iliainishwa baada ya mzoga wake umegunduliwa na kikosi cha pamoja cha Wizara ya Misitu na "[[w:World Wide Fund for Nature|WWF]]", mnamo 1992 katika Hifadhi ya [[Vũ Quang]], Vietnam.<ref name=cite/> Kikosi hicho kiliona fuvu tatu za kichwa zenye pembe nyofu ndefu zisizo za kawaida, zilizowekwa nyumbani mwa wawindaji. Katika makala yao, kikosi kilipendekeza kufanywa "uchunguzi wa miezi mitatu kuangalia mnyama hai", lakini tupo miaka 20 baadaye, na bado hakuna mwanasayansi yeyote ambaye amemwona saola porini. Lakini saola hai alipigwa picha porini, mnamo Septemba ya 2013, na mtego wa kamera. Van Ngoc Thinh, mkurugenzi wa taifa wa WWF Vietnam, alisema "Huu ni ugunduzi muhimu na umetoa tena matumaini kwa ajili ya kufufua kwa spishi hiyo."<ref name=guardian/><ref name=wwf/> Idadi ya Saola wanaoishi haijuliwi, kama wanyama 11 tu wamerekodiwa wakiwa hai.
Huyo ndiye mnyama pekee katika jenasi ''Boselaphus''. Nilgai, anayeitwa nilgau pia, ndiye palahala mkubwa kabisa wa Asia. Ni mmoja wa wanyama pori wa kawaida kuonekana [[Uhindi]] ya kati na kaskazini, na huona mara nyingi katika ardhi ya shamba au pori. Madume wazima hufanana kidogo na ng'ombe, na hujulikana pia kama "fahali wa buluu". Nilgai wanaishi Uhindi na sehemu za [[Nepal]] ya kusini na [[Pakistani]] ya mashariki. Spishi hiyo imetoweka [[Bangladesh]].
 
Mnamo mwisho wa Agosti 2010, saola mmoja alikamatwa na wanakijiji Laos, lakini alikufa wakati alipokuwepo hali ya kufungwa, kabla ya wanahifadhi wa serikali hawajapanga kumwacha saoga kurudi porini. Mzoga unachunguzwa kuboresha ujuzi wa kisayansi wa saola.<ref name=BBCNews/><ref name=livescience/> Mara nyingine, wanyama hao wategwa katika mitego ambayo imewekwa kushika wanyama kama nguruwe mwitu wajao kula mimea ambayo imepandwa na wakulima. Zaidi ya mitego 26,651 imeondolewa kutoka makazi ambapo saola ameishi kwa miaka mingi.<ref name = save/>
== Maelezo ==
Nilgai wana kimo cha mita 1.1–1.5 mabegani, urefu wa kichwa-mwili wa mita 1.7–2.1, na urefu wa mkia wa sm 45–50. Madume ni wakubwa kuliko majike, wakiwa na uzito wa kilo 109–288, hata hadi kilo 308, kulinganishwa na uzito wa majike wazima wa kilo 100–213.
 
Hadi sasa, saola wote ambao wamekamatwa wamekufa; hayo yamesababisha mawazo kwamba spishi hiyo haiwezi kuishi kwa kufungwa.
Nilgai ana miguu myembamba na mwili imara mwenye mgongo ambao wateremka chini kutoka mabegani. Muonekano wa madume na majike hutofautiana kiasi, na madume tu wana pembe. Madume wazima wana manyoya ya kijivu hadi kijivu-buluu, yenye madoadoa meupe kwenye mashavu na rangi ya nyeupe pia kando ya midomo. Pia wana mchirizi mwembamba mweupe toka koo kupita chini ya mwili ulio upana zaidi karibu na nyuma. Ncha za mkia mrefu na masikio ni nyeusi, na pia wana fungu la nywele ndefu za kukwaruza katika eneo la kati ya koo.
 
Madume wana pembe nyeusi mbili zenye umbo la pia, zitokazo kichwa kwa kukaribiana tu nyuma ya macho. The horns project upwards, but are slightly curved forward; they measure between {{convert|15|and|24|cm}} in a fully grown adult. Although the horns are usually smooth, in some older males, they may develop ring-shaped ridges near the base.
 
Kwa upande mwingine, majike na watoto wana manyoya kahawia, ingawa vinginevyo wana alama zilinganazo na madume. Majike hawana pembe. Madume na majike wana Both sexes have an erect mane on the back of the neck, terminating in a bristly "hog-tuft" just above the shoulders.
 
== Hali ya sasa ==
Line 42 ⟶ 37:
{{reflist|refs=
<ref name=iucn>{{cite web|title=IUCN Red List|date=2014|url=http://www.iucnredlist.org/details/18597/0}}</ref>
<ref name=DoiscienceMissing>{{cite journal |doi=10.1126/science.314.5804.1380 |title=The Saola's Last Stand |year=2006 |last1=Stone |first1=R. |journal=Science |volume=314 |issue=5804 |pages=1380–3 |pmid=17138879}}</ref>
<ref name=cite>{{cite journal |doi=10.1038/363443a0 |title=A new species of living bovid from Vietnam |year=1993 |last1=Dung |first1=Vu Van |last2=Giao |first2=Pham Mong |last3=Chinh |first3=Nguyen Ngoc |last4=Tuoc |first4=Do |last5=Arctander |first5=Peter |last6=MacKinnon |first6=John |journal=Nature |volume=363 |issue=6428 |pages=443}}</ref>
<ref name=guardian>[http://www.theguardian.com/environment/2013/nov/13/saola-sighting-vietnam-rare-mammal "Saola sighting in Vietnam raises hopes for rare mammal's recovery: Long-horned ox photographed in forest in central Vietnam, 15 years after last sighting of threatened species in wild", ''The Guardian,'' (November 13 2013).]</ref>
<ref name=wwf>[http://worldwildlife.org/stories/saola-rediscovered-rare-photos-of-elusive-species-from-vietnam "Saola Rediscovered: Rare Photos of Elusive Species from Vietnam", World Wildlife Federation (February 13 2013).]</ref>
<ref name=BBCNews>{{cite news|url=http://www.bbc.co.uk/news/science-environment-11328123|title=Rare antelope-like mammal caught in Asia|work=BBC News|accessdate=16 September 2010|date=16 September 2010}}</ref>
<ref name=livescience>{{cite web|url=http://www.livescience.com/animals/asian-unicorn-saola-100916.html|title=Rare Asian 'Unicorn' Sighted, Dies in Captivity|work=livescience.com|accessdate=16 September 2010}}</ref>
<ref name = save>[http://www.savethesaola.org/ " Home - Saola Working Group ."] N.p., n.d. Web. 18 April 2013</ref>
}}