Shaka Zulu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Kipala moved page Shaka to Shaka Zulu over redirect: labda tutahitaji nafasi kwa "shaka, mashaka"
No edit summary
Mstari 1:
{{makala nzuri sana}}
[[Picha:KingShaka.jpeg|thumb|right|Picha ya Shaka Zulu mnamo mwaka 1824]]
[[Picha:Shaka's Empire map.svg|359px|thumbnail|Eneo la milki ya Shaka]]
'''Shaka''' (pia: Tshaka, Tchaka au Chaka; halafu: '''Shaka Zulu''', Shaka ka Senzangakhona) (* takriban 1781 - 1828 [[BK]]) alikuwa kiongozi wa [[Zulu|Wazulu]] aliyebadilisha ukoo mdogo wa [[Nguni|Kinguni]] kuwa kabila au taifa kubwa lililotawala maeneo mapana ya [[Afrika Kusini]] hasa [[Natal]] ya leo.