Tanuri la nyuklia : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
sahihisho na nyongeza kidogo |
No edit summary |
||
Mstari 1:
'''Tanuri la nyuklia''' ni [[mtambo]] ambamo [[mchakato mfululizo wa nyuklia]] unatokea. [[Mwatuko wa nyuklia]] huzalisha [[joto]] ambalo latumiwa kutengeneza [[umeme]].
[[File:Scwr.svg|thumb|Muundo wa tanuri nyuklia inayopozwa kwa [[maji]]]]
[[File:Three Mile Island (color)-2.jpg|thumb|Tanuri la nyuklia kwenye kituo cha nguvu cha Three Mile Island, [[Marekani]]]]
Mstari 6:
==Kiini cha tanuri la nyuklia==
Kiini ni sehemu ya tanuri la nyuklia penye fueli yote na [[mwatuko wa nyuklia]] unatokea hapa. Kiini ni pia mahali pa kutokea kwa joto. Kiini hutengenezwa ndani ya [[chumba]] cha pekee ambacho kina kwanza [[ukuta]] wa [[feleji]] (mara nyingi [[tufe]]) unaozungukwa na ukuta nene wa [[saruji]] iliyoimarishwa.
Fueli imo kwa [[umbo]] la nondo za urani au plutoni. Nondo la fueli hufanywa kwa [[pipa]] la feleji linalojazwa vidonge vya urani. Hapo [[nyutroni]] zinatoka katika [[atomi]] za urani au plutoni zikigonga atomi nyingine na kuzipasua. Kila [[upasuaji]] wa atomi unaachisha [[nishati nyuklia]] inayotokea hasa kwa njia ya joto.
Kiasi cha nyutroni kinachopatikana kwa kazi hii hutawaliwa kwa kuingiza au kuondoa [[nondo dhibiti]]. Hizi nondo dhibiti hujaa vidonge vya [[bori]] au [[kadmi]] na kuzuia mwendo wa nyutroni.
Kadiri nondo dhibiti zinaingizwa kwa wingi zaidi kati ya nondo za fueli, uenezaji wa nyutroni kutoka urani au plutoni unapungua ni ==Uzalishaji umeme==
|