Tofauti kati ya marekesbisho "Julius Caesar"

25 bytes added ,  miaka 5 iliyopita
no edit summary
d (Masahihisho aliyefanya 194.214.210.29 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Addbot)
 
== Achaguliwa dikteta - kifo ==
[[Picha:RSC 0022 - transparent background.jpgpng|thumb|300px|Caesar alikuwa mwanadamu wa kwanza aliyeonyeshwa kwenye sarafu za Roma]]
Caesar alirudi Roma kutoka Misri akiwa mshindi dhidi ya wapinzani wote. Bunge la Senatus lilimpa cheo na madaraka ya [[dikteta]] kwa miaka 10. Baada ya ushindi mwingine dhidi ya wapinzani huko Hispania bunge lilibadilisha azimio hili kumpa cheo cha dikteta wa maisha. Caesar alipokea azimio hili. Sasa sehemu ya wabunge waliogopa ya kwamba nia yake ilikuwa kuwa mfalme wa Rome - jambo lililokuwa marufuku katika jamhuri ya Roma. Kikundi cha wabunge -wote makabaila wa familia za kale- waliunga mikono wakamwua Caesar bungeni tar. 15. 03. 44 KK kwa kumdunga kisu mara 23. Caesar anasemekana alimtambua mpwa wake Brutus akamwuliza kwa maneno yake ya mwisho: "Hata wewe mwanangu?".
 
17

edits