Julius Caesar : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Gaius Julius Caesar''' (''tamka ''gayus yulius kaesar''<ref>Kwa matamshi ya Kilatini sanifu cha Kale herufi "C" ilikuwa na matamshi ya "K"; katika matamshi ya karne za baadaye ilikuwa zaidi "SCh" kwa hiyo "SesarChesar"; kutoka hapahapo inakujayametokea matamshi ya Kiingereza "Sizar"</ref> - [[100 KK|100]] - [[44 KK]]) alikuwa kiongozi Mroma wa kisiasaki[[siasa]] na wa kijeshi.ki[[jeshi]] wa [[Roma ya Kale]].
AmekumbukwaAnakumbukwa hasa kwa mafanikio mbalimbali yanayoonekana kuathiri [[dunia]] hadi leo.
 
KatiBaadhi ya mafanikio hayahayo ni:
 
* Kama kiongozi wa kijeshi aliteka [[Gallia]] (leo: [[Ufaransa]]) na kuifanya jimbo la Kiroma. Kutokana na hiyo [[lugha]] ya [[Kifaransa]] ni karibu sana na [[Kilatini]], lugha ya [[Roma]] ya Kale.
 
* Waroma wa Kale walimheshimu kushinda viongozi wote waliomfuata au kutangulia akatangaziwaakatangazwa kuwa [[mungu]]. na jina[[Jina]] lake lilikuwalilipata kuwa neno kwa ajili ya [[cheo]] cha watawala wa Kiroma walionfuatawaliomfuata. KutokaKutokana na badiliko hilihilo la jina "Caesar" kuwa cheo, lugha mbalimbali walipokeazilipokea cheo hikihicho kama vile [[Kijerumani]] ("Kaiser"), [[Kirusi]] ("Tsar") na [[Kiswahili]] ("[[Kaisari]]" - kutokana na neno la Kijerumani).
 
* Aliunda [[kalenda]] ambayo imekuwa msingi wa kalenda ya kimataifa leo ([[Kalenda ya Juliasi]]). Kwa [[heshima]] yake, mwezi wa saba unaitwa [[Julai]].
 
* Katika [[historia]] ya Roma alifunga kipindi cha [[Jamhuri]] - kilichofuata ni [[Dola la Roma]] aliloiwekeaaliloliwekea misingi.
 
== Kupanda ngazi ==
Alizaliwa katika [[familia]] ya makabailama[[kabaila]] wenye nafasi katika [[Senatus]] ilivyoitwa [[bunge]] la Roma. Aliingia katika siasa, akachaguliwa kwa vyeo mbalimbali kwa vipindi vya kawaida wa miezi kadhaa hadi [[mwaka]] moja.
 
Cheo chake muhimimuhimu cha kwanza kilikuwa mkuu wa [[koloni]] yala Kiroma yala [[Hispania]]. Alifaulu kushinda [[ghasia]] ya Wahispania wenyeji waliojaribu kuwafukuza Waroma kutoka nchinchini yaomwao. Caesar aliporudi Roma alitajirika na kujipatia sifa kama kiongozi wa kijeshi pia mwanasiasa aliyeokoa koloni muhimimuhimu yala Hispania.
 
Baadaye Caesar alijiunga na wanasiasa wawili wengine: Gnaeus [[Pompeius]] Magnus aliyekuwa mkuu wa [[wanajeshi]] na Marcus Licinius [[Crassus]] aliyekuwa mtajiri[[tajiri]] kushinda Waroma wote. Wote watatu waliunda umoja ulioitwa "triumviratus", yaani umoja wa [[wanaume]] watatu, wakashika [[mamlaka]] katika [[dola]]. Caesar alichaguliwa kwa cheo kikuu yaani [[Konsul]] kwa mwaka [[59 KK]]. Baada ya mwisho wa kipindi chake alijipatia cheo cha [[Prokonsul]] au [[gavana]] wa eneo la Gallia ya Kiroma ([[Italia ya Kaskazini]] na eneo ndogodogo yala [[Ufaransa ya Kusini]]).
 
== Vita ya Gallia ==
Alitumia nafasi hii kuanzisha [[vita]] dhidi ya makabilama[[kabila]] ya Gallia huru yaani eneo lote la Ufaransa, [[Uswisi]] na [[Ubelgiji]] ya leo. Katika miaka naneminane ya [[58 KK|58]] - [[51 KK]] alitwaa Gallia yote. Aliingia pia ndani ya [[Germania]] (Ujerumani) na kuvuka [[bahari]] aliposhambulia upande wa kusini yawa [[Britannia]]. Aliandika [[kitabu]] cha "De bello gallico" (yaani Vita ya Gallia) akieleza mapigano yake. Kitabu hikihicho inakina [[habari]] muhimu za kihistoria juu ya [[utamaduni]] wa makabila ya Gallia, Germania na Britannia aliyopiganiaaliyopigana nayo.
 
== Vita vya wenyewe kwa wenyewe ==
Baada ya kufanikiwa Gallia na kujenga jeshi kubwa tena hodari, wanasiasa wengine huko Roma walimwogopawalianza walijaribukumwogopa wakajaribu kumzuia asirudi [[Italia]]. Mwenzake Crassus alikuwa amekufa tayari vitani katika mashariki yamwa dola; mwenzake Pompeius aliomwogopa Caesar akajaribu kushawishi viongozi wengine kumsimamisha.

Lakini mwaka [[49 KK]] Caesar aliongoza wanajeshi lake wakirudiwarudi Italia. Pompeius na wapinzani wake walitoka Roma wakaenda [[Ugiriki]] iliyokuwa jimbo la kiromaKiroma. Mwaka [[48 KK]] Caesar akachaguliwa tena kuwa Konsul. Akamfuata Pompeius kwa jeshi lake akamshinda katika mapigano. Pompeius alikimbia kwenda [[Misri]] lakini [[mfalme]] [[Ptolemaio XIII.]] alimwogopa Caesar akamwua Pompeius akampatia Caesar [[kichwa]] chake alipofika Misri. Caesar alikutana na dadakedada yake Ptolemaio [[Kleopatra]] akampenda na kuzaakuzaliana naye [[mwana]] wake wa pekee naye. Akamsaidia Kleopatra kuwa [[malkia]] na [[mtawala]] wa Misri.
 
== AchaguliwaKuchaguliwa dikteta -hadi kifo ==
[[Picha:RSC 0022 - transparent background.png|thumb|300px|Caesar alikuwa mwanadamu[[binadamu]] wa kwanza aliyeonyeshwa kwenye [[sarafu]] za Roma]]
Caesar alirudi Roma kutoka Misri akiwa [[mshindi]] dhidi ya wapinzani wote. Bunge la Senatus lilimpa cheo na [[madaraka]] ya [[dikteta]] kwa miaka 10. Baada ya [[ushindi]] mwingine dhidi ya wapinzani huko Hispania bunge lilibadilisha [[azimio]] hilihilo kumpa cheo cha [[dikteta]] wa [[maisha]]. Caesar alipokea azimio hili. Sasa sehemu ya wabunge waliogopa ya kwamba nia yake ilikuwa kuwa mfalme wa Rome - jambo lililokuwa marufuku katika jamhuri ya Roma. Kikundi cha wabunge -wote makabaila wa familia za kale- waliunga mikono wakamwua Caesar bungeni tar. 15. 03. 44 KK kwa kumdunga kisu mara 23. Caesar anasemekana alimtambua mpwa wake Brutus akamwuliza kwa maneno yake ya mwisho: "Hata wewe mwanangu?".
 
Sasa sehemu ya wabunge waliogopa ya kwamba nia yake ilikuwa kuwa mfalme wa Roma - jambo lililokuwa [[marufuku]] katika jamhuri ya Roma. Kikundi cha wabunge -wote makabaila wa familia za kale- kiliunga mikono wakamwua Caesar bungeni tarehe [[15 Machi]] [[44 KK]] kwa kumdunga [[kisu]] mara 23. Caesar anasemekana alimtambua [[mpwa]] wake Brutus akamwuliza kwa maneno yake ya mwisho: "Hata wewe mwanangu?"
== Achaguliwa dikteta - kifo ==
[[Picha:RSC 0022 - transparent background.png|thumb|300px|Caesar alikuwa mwanadamu wa kwanza aliyeonyeshwa kwenye sarafu za Roma]]
Caesar alirudi Roma kutoka Misri akiwa mshindi dhidi ya wapinzani wote. Bunge la Senatus lilimpa cheo na madaraka ya [[dikteta]] kwa miaka 10. Baada ya ushindi mwingine dhidi ya wapinzani huko Hispania bunge lilibadilisha azimio hili kumpa cheo cha dikteta wa maisha. Caesar alipokea azimio hili. Sasa sehemu ya wabunge waliogopa ya kwamba nia yake ilikuwa kuwa mfalme wa Rome - jambo lililokuwa marufuku katika jamhuri ya Roma. Kikundi cha wabunge -wote makabaila wa familia za kale- waliunga mikono wakamwua Caesar bungeni tar. 15. 03. 44 KK kwa kumdunga kisu mara 23. Caesar anasemekana alimtambua mpwa wake Brutus akamwuliza kwa maneno yake ya mwisho: "Hata wewe mwanangu?".
 
Caesar hakuwa na watoto bali naila huyu mwana wa Kleopatra asiyekuwa Mroma. Kabla ya [[kifo]] chake alikuwa amempanga mtoto mpwa wake Oktaviano. Huyu Oktaviano -aliyejulikana baadaye kama [[Augusto]] na mtawala wa kwanza wa Dola la Roma- alilipiza [[kisasi]] chake katika kipindi cha [[vita ya wenyewe kwa wenyewe]] na kuua wapinzani wote wa Caesar.
Miaka miwili baada ya kifo chake bunge lilimtangaza Caesar ndiyekuwa mungu.
 
==Marejeo==
Line 39 ⟶ 44:
[[Jamii:Kaisari]]
[[Jamii:Watu wa Roma ya Kale]]
[[Jamii:Waandishi wa Roma ya KaleKilatini]]
 
{{Link FA|eu}}